Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

Ingia Instagram account za madalali wa Dar utakutana na hizo rangi pia.
 
Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?









Unacheza na sie wasukuma ww.
Huko ndani utakuta kuna rangi mia mbili kila ukuta na rangi ake. To yeye.

Hua napenda sana Subaru Forester lkn kuna Forester moja hua nikiona nasikia vby, tumbo kuuma, hamu ya chakula kukata yani ina Ile rangi ya Mountain Dew weeeeeeh acha ccy
 
Tafuta vitu vya kujadili vyenye kuleta maendeleo sasa unajadili rangi kweli?mbona maji hayana rangi
 
Rangi ya nyumba hutumika kama kielelezo na kuelekeza wageni.
 
Unataka wapake rangi unazozipenda wewe kwenye Nyumba zao na sio rangi wanazozipenda wahusika wenyewe?

Ipo siku pia utakuja na hoja ya kuwapangia watu wavae nguo za rangi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…