Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wewe ni mchoyo jua hivyooWako color blind
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mchoyo jua hivyooWako color blind
Hicho kigorofa cha blue ni shule au?Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Acheni ubishi wabongo... Basi paka nyumba yako ukuta rangi nyeusi tuone.Mswahili ye yake wivu na choyo tu.Hujachangia chochote katika ujenzi wake halafu unampangia apake rangi gani huo ni upumbavu Kila mtu ana chaguo lake na jinsi anavopenda.Ama kama vipi Jenga ya kwako halafu pakaza rangi ya kijanja.
Njombe hakuna nyumba za hivi mkuuZimeshout kama za watu wa Njombe
Ingia Instagram account za madalali wa Dar utakutana na hizo rangi pia.
Huenda huijui.vyema njombe na makambako...wwanapaka rangi za kushout..nyumba 1 anakumixia rangi 5
Hapana, nimezaliwa na kukulia Njombe kwa hilo unatuonea labda nisibishe sana maana sinaizunguka Njombe yote nikaijuaHuenda huijui.vyema njombe na makambako...wwanapaka rangi za kushout..nyumba 1 anakumixia rangi 5
Kwani unapungukiwa nini wakipaka hizo rangi, ni nyumba zao siyo zako.Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ahhhh mnadhambi mjuee mpka nimecheka ujueZimeshout kama za watu wa Njombe