Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?









Hicho kigorofa cha blue ni shule au?
 
Yaani huku Bo kaap Cape town ni kama Maua.Tushazoea full kufuatwa na Nyuki.
 
Mswahili ye yake wivu na choyo tu.Hujachangia chochote katika ujenzi wake halafu unampangia apake rangi gani huo ni upumbavu Kila mtu ana chaguo lake na jinsi anavopenda.Ama kama vipi Jenga ya kwako halafu pakaza rangi ya kijanja.
Acheni ubishi wabongo... Basi paka nyumba yako ukuta rangi nyeusi tuone.

Au paka ceiling board rangi nyekundu/nyeusi.

Kwenye interior/exterior design,Kila kitu kina principle/best practice zake.

Hayo marangi yanayong'aa hayako recommended na wala hayapendezi(isipokuwa kwa washamba wachache wasiojua)
 
Inauma sana kwa mkoa kama ni wa kwako uliotokea au unaishi ila mleta mada kafikisha ujumbe vibaya na pia mtu apangiwi kutumia pesa yake lakini pia kunakuwaga na washauri kwa mabosi ila boss anaweza kuupokea na kuufanyia kazi ila mleta mada angetujuza vizuri zadi ukuta was ndani rangi gani zinafaa na kuuta wa nnje rangigi gani zinafaa ili mtu akiona nyumba avutiwe nayo zadi
 
Umewasahau wa chanika, chamazi, mbagala wana hizi swaga. Aisee sijui ni ubishi au vipi
 
Bhebhe!!lekaga obhosegani!!kwan rang ina ubaya gan,bas wasiuze huko madukan...
 
Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?









Kwani unapungukiwa nini wakipaka hizo rangi, ni nyumba zao siyo zako.
 
Iwe rahisi kuelekeza wageni bila kupotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…