mohamedjohn
JF-Expert Member
- Sep 24, 2020
- 467
- 277
Hiii Yaya geteHili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
HaahahahahhaDuh watu mna mambo. Mbona wana mwanza wamefurahi shangwe kila kona
.Dr. Mahenge kwa busara zake angekwenda Kilimanjaro ingependeza Sana.
Je Inawezekana yule mama wa Kilimanjaro ameomba mwenyewe kupumzika?
Labda kweli Sasa haya ndio malipoyetu kwasasaKutesa kwa zamu,
Enzi za mwendazake mmekula sana Bata wanaMwanza kisa "Mlimpigia kura"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh? Kunakitu umeniongezea kichwani mwanguIla kumbuka Samia juzi kawaambia Wazee wa Dar wasishangae akiteua Waziri toka Upinzani! Naona kama Mghirwa alikuwa anaongelewa hapa!
Nani alikuambia watu wa mwanza washamba? unaijua Mwanza kweli wewe? inaonekana huijui vizuru ngoja nikupe dondoo chache za mwanza,Hakuna mahali pana upinzani mkali na wa dhati kama mwanza,ukiacha upolaji na siasa kandamizi za mwenda zake mwanza ilikuwa ikiongozwa na wabunge wa upinzani majimbo yote mawawili. wakati wa kampeini mwaka jana LISU alipokelewa kama shujaa hapo mwanza watu hawakulala.Hakuna kitu huko,awaweze watu jeuri na vibuli wa Mbeya ndio ashindwe kwa nyie washamba wa huko Mwanza? Mnamjua vizuri Chalamila au unamsikia kwa propaganda za aliowashikisha adabu wanalia lia kijinga tuu mitandaoni?
Baada ya ile simu amezawadiwa Mwanza?Kwani mnaogopa viboko
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
😀😀😀 kadiria mkuu nione kama una shabaha😀wewe fainansho kumbe ni wa mbeya!??....hebu niambie haraka una kilo ngapi maana mbeya nayo mbeya..
Mbeya sisi si Jeuri mkuu basi tu sijui mnatuonaje🤫Mbeya watu jeuri,RC Chalamila angeachwa Mbeya awanyooshe vizuri sasa analetwa mtu dhaifu Ili upigaji urudi kule kule.
Kuna uwezekano kwavile sidhani kuna kibaya alichofanya huyu mama kwenye ukuu wa Mkoa Kilimanjaro alikuwa fair!Mmh? Kunakitu umeniongezea kichwani mwangu
Hakuna tabu! Mkumbusheni tu kwamba huko ndo kuna kisiwa cha ukara, ndani ya wilaya ya Ukerewe. Pia Gamboshi kule sehemu za Magu. Akileta mdomo mrefu, apewe aibu yake.Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Hahaha! Umenichekesha sana mkuu!😂😂😂Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.
Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.
Amestaafu huyo Mama Kwani huoni na uzee anaoMama ni meko tu.
Kamtoa mwanamke mwenzake mngwira anamuacha ali hapi