Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Hiii Yaya gete
 
Hahahha
Nilicheka sike anasema eti alipopata taarifa za msiba alimuuliza wake mzee kafa au mm ndio nimekufa ".... Muishi nae humo mbona yupo safi
 
Hakuna kitu huko,awaweze watu jeuri na vibuli wa Mbeya ndio ashindwe kwa nyie washamba wa huko Mwanza? Mnamjua vizuri Chalamila au unamsikia kwa propaganda za aliowashikisha adabu wanalia lia kijinga tuu mitandaoni?
Nani alikuambia watu wa mwanza washamba? unaijua Mwanza kweli wewe? inaonekana huijui vizuru ngoja nikupe dondoo chache za mwanza,Hakuna mahali pana upinzani mkali na wa dhati kama mwanza,ukiacha upolaji na siasa kandamizi za mwenda zake mwanza ilikuwa ikiongozwa na wabunge wa upinzani majimbo yote mawawili. wakati wa kampeini mwaka jana LISU alipokelewa kama shujaa hapo mwanza watu hawakulala.
 
Mumejaza machinga kwenye barabara huku Mbeya Chalamila kafanikiwa kweli hakuna chinga walioziba madaraja na mabarabarani Kama Mwanza hivyo huyo ni mtu sahihi wa kuwapanga chinga.
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Shida ya kusoma sana mitandao. Hapa Unajifanya unamjua kweli.
 
Tumepata bonge la mkuu wa mkoa.Chalamila ni mtu sahihi kwa jiji la Mwanza.Acheni chuki za kisiasa.
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Hakuna tabu! Mkumbusheni tu kwamba huko ndo kuna kisiwa cha ukara, ndani ya wilaya ya Ukerewe. Pia Gamboshi kule sehemu za Magu. Akileta mdomo mrefu, apewe aibu yake.
 
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.

Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho.

Mbeya wanashukuru sana maana walishachoka naye.

Hahaha! Umenichekesha sana mkuu!😂😂😂
Ngoja tuone reaction ya Chalamila kiuongozi itakuwaje. Kama atabadilika atabakia hapo. Ni juu yake. Kama ni type ile ile, hana muda hapo. Ila poleni sana. Nadhani mama hataki kudemka. Kazi ni kwa huyo Chalamila. Kama ni smart, he will adjust accordingly.
 
Back
Top Bottom