Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

8. Pemba polisi hawafanyi kazi kubwa sababu ni mji uko na Amani
na watu wake wengi wana hofu ya mungu(Allah)
Huyo allah mleta amani imekuwaje hajaleta amani sudani(Khartoum),palestine ,somalia, Afghanistan,iraq, Syria nk ambako ndo chanzo chake aje alete amani kwa watu ambao sio chanzo chake!?

Badi aende na huko alikotoka akawape amani
 
Siendi Pemba hata iweje, sehemu inayoendekeza Uislam mashetani ama majini ni kawaida kuyaona, yaani wapo nje nje tu. Ukijamba unatupiwa jini, ukila vizuri ni hivyo hivyo.....yaani full balaa.
 
Siendi Pemba hata iweje, sehemu inayoendekeza Uislam mashetani ama majini ni kawaida kuyaona, yaani wapo nje nje tu. Ukijamba unatupiwa jini, ukila vizuri ni hivyo hivyo.....yaani full balaa.

Maeneo kama hayo huwa hayana maendeleo,labda maendeleo ya kuuziana majini,wivu,chuki na husda.
 
Ndo maana wakija DSM hawataki kurudi huko [emoji16]
 
Ongea na watu vizuri mkuu Pemba hadi vijiwe cha mchele vipo
 
Umesahau mkate mgumu kama jiwe ,ukitaka kuulw loweka kwenye chai nusu saa kabla!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…