Watu wa Pemba mnaweza vipi kuishi sehemu pagumu kama huku?

Muongo Sana wewe,tangu zamani watu wanaoenda Sana visiwani ni wanyamwezi,hata vibarua mashambani ni wanyamwezi,Sasa wao kila atokae Bara humuita mnyamwezi,kabla ya mapalala na lipumba
Nadhani hata wazanzibari wote kwa bara wanaitwa "wapemba" tu wakati wao pia wana makabila yao mfano wamakunduchi, watumbatu, wakojani, washirazi
 
mbn mm na demu wa kipemba na alikuwa anakuja sana camp nimepiga sana
 
Pemba 100% ya wadada ambao hawajaolewa ni bikra (upande wa mbele), lkn kwa nyuma hawana malinda.
Acha kuchafua watu bhana. Hujawahi hata kupanda feri kuvuka Kigamboni unazushia watu mambo ya TG
 
1. Wanahudumia mteja kwa kujisikia. Siku ya kwanza tu kula machomane nusura nigombane na mhudumu. Nikakausha sipendi kabisa kugombana na wanawake wahudumu.
2. Wanapenda chakula cha baridi. Kila mahali utapewa chakula kimepoa.
3. Watu wana shombo la samaki hata asubuhi (Vumba) Sorry mjitahidi…..
4. Kwa wanawake kama haujazoea nguo ndefu sana ukivaa , tuna kawaida ya kuishikilia kidogo isiburuzike, kwenye kushika nguo inaweza kufunuka miguu ikaonekana, wanaume watakuangalia pale palipofunuka kwa uchu! Miguu tu!!!!
5. Watu ni wakarimu kwa kuongea, sio visirani.
 
Vipi kuhusu magonjwa makubwa
Vipi umri wao kuishi ni kama bara?
Afya zao vipi
Nimeona wanaume ndio wanabeba vikapu kwenda kuhemea marikiti
 
Mixx by Yas wanatoa?
 
Nadhani hata wazanzibari wote kwa bara wanaitwa "wapemba" tu wakati wao pia wana makabila yao mfano wamakunduchi, watumbatu, wakojani, washirazi
Je hizo kabila km washirazi, watumbatu, wakojani wamakunduchi wana lugha yao ukiacha kiswahili cha kipemba ? Naona kama unasema wamanzese, wabughuruni, waostebei nk.
 
Je hizo kabila km washirazi, watumbatu, wakojani wamakunduchi wana lugha yao ukiacha kiswahili cha kipemba ? Naona kama unasema wamanzese, wabughuruni, waostebei nk.
, japo wote wanaongea Kiswahili Ila kuelewana kimazungumzo na mtumbatu NI kaz ngum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…