Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete.

Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda.

Kwa mujibu wa protakali Kikwete alikuwa na sehemu mbili tu za kukaa.

Pembeni ya mwanajeshi mwenzake Kinana au pembeni ya rais mstaafu mwenzake Karume.
 
Back
Top Bottom