Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

hamna cha vision ya taifa wala nini,tatizo huko kwenu pwani mwajua ngoma tu,na kukaa barazani sasa mnataka maendeleo ya nini.Hata Jafo mwenyewe anajua hilo anapeleka MAENDELEO YANAKOHITAJIKA HUKO KWENU MBAKI NA TEMBE ZENU
Hahaha jibu mujarab
 
Hivi ni watatu??duh..na kusafiri kote huko jaman hizo ngv unatoa wap?mamaaa!

..hata mimi nimemshangaa sana Mh.Jafo.

..pamoja na ujana na usomi wake bado anaendekeza utamaduni wa kale wa kuoa wake wengi.
 
Sema wewe ni mchaga kwani huko Geita kulikwama kwa sababu nyinyi mlikuwa kwenye maamuzi mnapindisha miradi mnapeleka mashati
Nani kakudanganya? Bajeti hupitishwa na bunge,je bunge lilikuwa lá wachaga?
Hawa watu Wana akili by nature ulishafika huko mashati /tarakea nk ukaona jinsi vijijin kulivyo na maendeleo?
Ulishafika sehemu yoyote nchini ukawakosa wachaga? Hawa watu Ni wapambanaji ndio maana Wana maendeleo, wangekuwa wanategemea serikali Kama unavyohisi wangekuwa washatoka kwenye ramani,muuza supu wa Moshi anamiliki Mali za kutosha Hawa watu acha kabisa Ni talented naturally
 
Hahaha kilichobaki uwe mkwe wangu, una kesi ya kujibu vinywaji utagharamia wewe.
 
Not to that extent,mangi unakuta ameshajenga majumba mengi ya kupangisha alafu ndio anajenga jumba lake self container la kuishi
Hebu ona huku Ni marangu unaona majumba yalivyo ?
 
Ndio utamaduni wetu km nyie ilivyo nyie kulala na mbuzi nyumba moja kikubwa 2025 twende na Mh Seleman Jafo Yombo Lukinga Moja...
Nyumba ya mbuzi kilimanjaro Ni nzuri kuliko za kule kwenu kimazichana
Hebu ona mazingira yanavyopendeza
 
Binafsi baada ya magufuli natamani jafo achukue urais.

Haya ni maoni yangu binafsi kwa sababu zangu binafsi.
 
Kwa jicho la 3, Hakuna waziri anaye fit nchi 2025 tofauti na Jaffo kuna factor nyingi zinambeba tunajadili 2024

Note Bene : JAFFO NDIO NEXT PRESIDENT
Wewe ni nani hata utupangie mtu wa kuja kutuongoza watanzania zaidi ya elfu 50 ?
Mimi binafsi huyo jamaa huwa simpendi namuonaga hamnazo
 
Kwani wewe hupendi kwenu? MTU KWAO
mimi ni raia wa dunia na nyumbani ni Tanzania.., kwetu ni Tanzania nzima
na unless otherwise mahali nilipo ninalazimishwa kuwepo sababu ya shughuli zangu basi pale ndio nyumbani huwezi mtu unaishi sehemu na ndio unapategemea alafu unaona hapafai wakati haujafungwa minyororo kwenda kule unapoona ni pazuri zaidi...

Na point yangu ilikuwa kwamba ni jambo la kushangaza mimi nasema huku ni kwetu napapenda wala siendi na sijawekeza kitu kule, wakati mtu mwingine aliyewekeza kila kitu chake pale ninamuona kwamba sio kwao..., hapo utaona kuna upotofu fulani..., thus dunia inapoendelea kuwa kijiji ni uwezo wako tu ndio utakufanya sehemu iwe kwenu au uwe mpita njia...
 
Huku kwetu Maji, umeme upo.

Shule ya sekondari ni hamna. Soko hamna.

Waambie waje kunaitwa viziwaziwa ni pwani
 
hamna cha vision ya taifa wala nini,tatizo huko kwenu pwani mwajua ngoma tu,na kukaa barazani sasa mnataka maendeleo ya nini.Hata Jafo mwenyewe anajua hilo anapeleka MAENDELEO YANAKOHITAJIKA HUKO KWENU MBAKI NA TEMBE ZENU
Pwani ni starehe kwa kwenda mbele, kinamama kuvaa madila na kunukia manukato mazuri na kwenda kwenye shughuli za kila mwezi.

Unasafiri na raha leo kutoka pale barabara ya 12 Tanga mpaka unafika dar ni mwendo wa kusikiliza nyimbo za taarabu.
 

Mijinga sana nyie watu.
Sasa mnaanza ukabila, mna nini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…