Wewe kinakukera nini na tamaduni za wengine? umeitwa huko?
Kama unawaonea wivu wanaoolewa kila wiki basi na wewe tafuta mume uolewe.
Namnukuu Kiranga
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.
Duh!.Hivi mtu unakerwa vipi na tamaduni za wengine, wao wako sawa iweje wewe uumie???
Mkuu punguza wivu.Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Wakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Samaki mkubwa Niko nini MrWakazi wa Tanga hasa Tanga Mjini achaneni na vitu vya kijima
Kila mahali ni harusi kuanzia Alhamisi, Ijumaa, Jmosi mpaka Jpili.
Harusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
1. Mahari binti anachagua godoro!
2. Elimu kuu ni madrasa
3. Uvivu wa kutokufanya kazi
4. Kuuza shamba kununua samaki mkubwa, kucheza harusi, unyago na upuuzi mwingine kama huo!
Ushauri to ametoa hiyo siyo kero wala kakelwa! Tofautisha.Hivi mtu unakerwa vipi na tamaduni za wengine, wao wako sawa iweje wewe uumie???
Acha uzushiLindi na Mtwara ni majanga
cc. Ndege John
Vijana hawataki kufanya kazi ngumu, wao wenyewe ni chai maharage
Na me nimebaki kumshangaa.Zanzibar ipi acha uongo, nenda kajionee maisha bora ya kila Mzanzibar
Uvivu sio dini bali ni tamaduni za watu Waislamu wachapa kazi vizuri tu ila ukanda wa pwani uvivu ni tamaduni yangu hata ukimkuta mkristo wa asili ya pwani kama wakwere wa chalinze,lugoba,msata,magindu, matuli, ngerengere ni wavivu amoja na kwamba ni wakristo..Sehemu mwarabu alipotawala ndio ugoro anaowaachia waliomkubali. Umesahau kufuga majini a.k.a ngombe za mwarabu, uchawi , uchafu na majungu
Sio ukabila wa udini ila mila na tamaduni tunazoona hazifai zinatakiwa kumewa na kupinga hazifai na zinaleta utegemezi kwa mfano ukienda kibiti rufiji mpaka lindi utakuta vitoto vidogo vikimaliza tu drs la 7 vinazalishwa vinakua single mother ww unaona hyo ni sawa?
Suala la kuoa mimi sioni kama kuna ulazima wa mambo kuwa mengi kama unavyotaka. Nakumbuka mimi shughuli nzima ya kuoa ilichukua kama masaa mawili hivi. Tilifika nyumbani kwa wakwe na mzigo tuliyopangiwa kutoa kama mahari, tukakabidhi pamoja na maongezi kidogo tukaondoka na mke. Sijawahi kufanya sherehe ya harusi wala kusaini document yoyoteHarusi ya hema moja nje ya nyumba, chai ya rangi , andazi 2 na wali wa maharage
Never, never never. Naishi nao , ni marafiki zangu, tumeoa kwo na wao wanakiri udhaifi wa mila zao! Werevu wanakataa kuwapeleka watoto wao madrasa! Wanasema tutatafuta namna nyingine ya kuwapa elimu ya diniHawa wagalatia wana chuki za kipumbavu sana,lengo kuu la mleta mada ni hiyo namba 2
wawaWatu huwa mna-complicate sana maisha. Kati ya vitu ninavyowaonea wivu Waislamu na wenye tamaduni hizi unazozilalamikia ni urahisi wao katika mambo ya msingi kama ndoa na kifo. Huhitaji mamilioni ndiyo eti utoe mahari na kufanya liharusi likubwa lisilo na mantiki kisa tu uwaonyeshe watu.
Ukifa leo asubuhi mchana saa saba ushazikwa - hakuna michango ya jeneza la bei mbaya, sare za wanakwaya, mashada ya maua, mahotuba marefu ya kinafiki kutoka kwa mitume na manabii feki na upumbavu mwingine. Simple life yaani dah!
You can't run from yourself,Never, never never. Naishi nao , ni marafiki zangu, tumeoa kwo na wao wanakiri udhaifi wa mila zao! Werevu wanakataa kuwapeleka watoto wao madrasa! Wanasema tutatafuta namna nyingine ya kuwapa elimu ya dini
Sio kwamba ni wavivu bali wako taratibu/slow ukilinganisha na watu wa bara, matarajio yao katika maisha pia yako chini ukilinganisha na watu wa bara.Uvivu sio dini bali ni tamaduni za watu Waislamu wachapa kazi vizuri tu ila ukanda wa pwani uvivu ni tamaduni yangu hata ukimkuta mkristo wa asili ya pwani kama wakwere wa chalinze,lugoba,msata,magindu, matuli, ngerengere ni wavivu amoja na kwamba ni wakristo..
Never, never never. Naishi nao , ni marafiki zangu, tumeoa kwo na wao wanakiri udhaifi wa mila zao! Werevu wanakataa kuwapeleka watoto wao madrasa! Wanasema tutatafuta namna nyingine ya kuwapa elimu ya dini
Tanga sio ya Kobaz tu, Wagalatia wamejaa Tanga.Punguza ujuaji wewe mzee. Na achana na maisha ya watu. Actually waache Waislam na Dini yao. Mbaya zaidi mtu sio Muislam na tena huupendi Uislam wala Waislam halafu mdomo mdomo mwiiiingi eti unashauri. Baki na ukafiri wako waache Waislam na Dini yao kama huipendi na hutaki kuifuata.
Mtu chuki tu imekujaa, eti Watu wa Tanga badilikeni, utadhani ni mtu wa nasaha kweli, kumbe chuki tu dhidi ya Uislam na Waislam ambazo huwezi hata kuzificha kwa jinsi zilivyokuelemea.