Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuh ndo naiona leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HIYO INA LADHA YA DHABIBU
..Hicho ndio kinywaji cha Tanga (Akina Bakhresa na MO Wanasubiri)....Hao Wahindi wameshindikana....(Mikanjuni, Makorola,Donge,Raskazone, Stand ya Zamani, Sahare na kwingineko wanalifahamu hilo)
Ziko za ladha tofauti kutoka kampuni hiyo ,kuna.za passion,Anjari,syrup,pineapple..ni tamu sana na kiwanda kipo Tanga tu.Ndio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.View attachment 945991
#tusichekanekuulizasioujinga#
Tamu sana hiyo kitu wacha kabisa, kama upo dar nenda kisutu pale K. Tea shop utazipata zipo
Umekunywa banana ya kawaida au Kimorali?OII OII OIII OII OIIII VIDUME WENYE PESAAA TANGAZO HILOOOOO NA PIA LIMEAMBATANISHA MAPAJA MURUAAAAAA KABISAAAA SO KAZI KWENU ..
Tena kwa huku Tanga tunauziwa hadi mia tatu yan kwa siku unaweza zinywa tano mpaka saba hii kitu ni balaa wahindi wametukamata sanaa huku aseeHata juisi yake sijawahi iona duh ngoja nikaisake
Healtho za chupa bado zina radha ile ile ila za kopo ndio imechuja kidoogoKiujumla kwasasa
Helto imechuja mno
Yaani wapo Kibiashara zaidi
Anjari/Heltho ya zamani,ilikuwa haiishi ladha mdomoni
lkn kwasasa,hapana.
Wamechemka kdg
Hii soda ni mujarabu kabisa, Leo nimeinywa naona Kuna jambo geni kabisa kwangu, bye bye K, - VANT.Ndio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.View attachment 945991
#tusichekanekuulizasioujinga#
Lete jambo kwa upande wako sheikh!Anjari🙂🙂Ina hatari sana hii kitu
Mimi naijua juice yake kumbe kuna soda