Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Watu wa Tanga hii soda ina ladha ipi?

Tamu sana hiyo kitu wacha kabisa, kama upo dar nenda kisutu pale K. Tea shop utazipata zipo
 
OII OII OIII OII OIIII VIDUME WENYE PESAAA TANGAZO HILOOOOO NA PIA LIMEAMBATANISHA MAPAJA MURUAAAAAA KABISAAAA SO KAZI KWENU ..
 
nimekupa like nimepamis nyumbani jamni
..Hicho ndio kinywaji cha Tanga (Akina Bakhresa na MO Wanasubiri)....Hao Wahindi wameshindikana....(Mikanjuni, Makorola,Donge,Raskazone, Stand ya Zamani, Sahare na kwingineko wanalifahamu hilo)
 
Duh wahindi wangejiongeza wakazisambaza Tanzania nzima
Tena kwa huku Tanga tunauziwa hadi mia tatu yan kwa siku unaweza zinywa tano mpaka saba hii kitu ni balaa wahindi wametukamata sanaa huku asee
 
Napendekeza zipelekwe kwa wingi wilaya ya ROMBO nadhani itakuwa ukombozi kwao!
 
Back
Top Bottom