The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Mji ni mzuri sawa, lakini tatizo la Tanga huwezi kuishi mtu mpambanaji lazima upachukie sana.Vijana Tanga wote wamekimbilia Dar,wamebakia wazee,ila twende mbele turudi nyuma Tanga pazuri sana.Ukitaka kuifaidi Tanga uwe na Baiskeli au Usafiri wako binafsi,halafu uanze kutembelea mitaa unayotaka wewe ,isiwe ni boba au Taxi,ni mji mzuri kiasi chake.....
Tanga wanaamka saa nne alafu biashara zafungwa saa 9 alasiri.....
Weekend yaanza alhamisi sheihk.
Panaboa sana....