Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Wewe wa Mkoa Gani?Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,,
[emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa
[emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda"
[emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother kesho nasepa'
[emoji117]"nimekuja ktk sherehe mara moja kesho nasepa"
muwe mnakaa hata week basi ujue tume wa miss[emoji16] [emoji16]
CHA AJABU nikiingia town kwao huwa wengine wananikwepa, utawaaskia "leo niko bizee joh kesho ntakuchek"
kesho hapatikani, basi mi nafanya yangu then nageuka mkoa[emoji1]
[emoji16]Wanaume wa dar wanaogopa vizinga tu hawana lolote utasikia ninamichakato flani hivi akija sasa utasikia una jero hapo
Wewe Kweli wa Mkoa
Hahaa hivi bado unalog off tu hadi leoMie nikiendaga mikoani ndio naona raha sana kwa kuwa nabadilisha mazingira,halafu lzm niweke jiwe la msingi sitokagi hivi hivi aisee!
Nalog off
Bado sijaacha ndgHahaa hivi bado unalog off tu hadi leo
Una maana gani shem...?Wanaume wa dar wakija mkoani wanaijishaua sasa subiri uende Dar mpaka unarud mkoani huwez kuonana naye
Kama wameweza kubadiri hili neno "Jamani na kuwa Jomoni"ndo liwe hili la kukukimbia...!!!?wengi wamepanga vyumba viwili ama kimoja so ukiwaambia nipo hapa mjini wanajua unataka ukaone wanavyoishi.sittng rum zao zimejichanganya kati ya masofa na ndoo za maji.hawapendi hili kabisaa.kama huamini wee mwambie njoo sehemu flani nikununulie bia mbili tatu hv...weeeee weeee hazitazid dk 3...Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,,
[emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa
[emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda"
[emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother kesho nasepa'
[emoji117]"nimekuja ktk sherehe mara moja kesho nasepa"
muwe mnakaa hata week basi ujue tume wa miss[emoji16] [emoji16]
CHA AJABU nikiingia town kwao huwa wengine wananikwepa, utawaaskia "leo niko bizee joh kesho ntakuchek"
kesho hapatikani, basi mi nafanya yangu then nageuka mkoa[emoji1]
wa mkoa[emoji16]Wewe Kweli wa Mkoa
kumbeee[emoji16] [emoji122]Kama wameweza kubadiri hili neno "Jamani na kuwa Jomoni"ndo liwe hili la kukukimbia...!!!?wengi wamepanga vyumba viwili ama kimoja so ukiwaambia nipo hapa mjini wanajua unataka ukaone wanavyoishi.sittng rum zao zimejichanganya kati ya masofa na ndoo za maji.hawapendi hili kabisaa.kama huamini wee mwambie njoo sehemu flani nikununulie bia mbili tatu hv...weeeee weeee hazitazid dk 3...
eeehWanaume wa dar sio poa kabisa