Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Mie nikiendaga mikoani ndio naona raha sana kwa kuwa nabadilisha mazingira,halafu lzm niweke jiwe la msingi sitokagi hivi hivi aisee!
Nalog off
 
Wanaume wa dar wanaogopa vizinga tu hawana lolote utasikia ninamichakato flani hivi akija sasa utasikia una jero hapo
 
Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,,

[emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa
[emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda"
[emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother kesho nasepa'
[emoji117]"nimekuja ktk sherehe mara moja kesho nasepa"

muwe mnakaa hata week basi ujue tume wa miss[emoji16] [emoji16]

CHA AJABU nikiingia town kwao huwa wengine wananikwepa, utawaaskia "leo niko bizee joh kesho ntakuchek"

kesho hapatikani, basi mi nafanya yangu then nageuka mkoa[emoji1]
Wewe wa Mkoa Gani?
 
Kama wameweza kubadiri hili neno "Jamani na kuwa Jomoni"ndo liwe hili la kukukimbia...!!!?wengi wamepanga vyumba viwili ama kimoja so ukiwaambia nipo hapa mjini wanajua unataka ukaone wanavyoishi.sittng rum zao zimejichanganya kati ya masofa na ndoo za maji.hawapendi hili kabisaa.kama huamini wee mwambie njoo sehemu flani nikununulie bia mbili tatu hv...weeeee weeee hazitazid dk 3...
 
kumbeee[emoji16] [emoji122]
 
Back
Top Bottom