Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa mkoani mnazingua sana! kwanza mnakula sana, pili hamjui kutembea haraka mnatembea kizembe sana!

Afu kwenu muda siyo deal mjue siye wa town riziki iko miguuni mwetu kama mbwa hivyo tuacheni tuendelee kutroti.
 
Ni mara ngapi unanikimbia wewe shunie embu usinitoneshe kidonda, ulinivurugia bajeti yangu ya usafiri kabisa. Nyie watu wa dar sio watu wazuri kabisa [emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Usiiwaigee...
Mie wananiaga kwa mbwembwe tukija tukuletee nini my dear!! Huwa nasema tuu chochote, wacha waje tena msimu ujao, holla ... Nshawazoea wala hawanisumbui kabisaaa
Wakija kijiji kizimaaaa kinazimaaaaa kwa mbwembwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…