Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Watu wa town mnatuumiza sana sie wa mikoani na kauli zenu " aise huu mkoa bado sanaaa yaan hamna totoz kabisa"

Acha kabisa mmoja alisema amenunua gari akajua mm mshamba ile nimesimama Kituo cha Msikitini kama unatoka mbagala kwenda kwa Azizi aly ghafla Vix hili hapa la mkonge kucheki nyuma lina namba za STL nikasema moyoni weeeee shuziii kweli akasema gari yangu hhii nimetoka ofisini mara moja anajua mm wa mkoani mshamba.


Tukaenda mpaka Girrafe hotel kama Afrikana kunywa mbili tatu kama baada ya nusu saa simu ikaita akaenda kupokea akaja akaniachia hela ya nauli ya tax akasema anarudi ofisin kuna kazi ghafla

MOYONI NIKASEMA WEWE SHUZI NI DEREVA WA SERIKALINI USIONE NIMETOKAA MKOANI UKAZANI NITABABAIKA NA GARI KWENDRAAAH NA BLOCK JUUU

wanaume wa dar wana dhambi
[emoji16] [emoji1] [emoji16] [emoji1]
 
Mhhhhh utakuwa umechanganya I'd mpendwa, mie siwezi kudanganya nakaa dar maana ukiniuliza sehemu gani siwezi kukumbuka ntajikuta nimesema UBUNGO maana ndio ninapopajua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ney chizi sana
 
Mhhhhh utakuwa umechanganya I'd mpendwa, mie siwezi kudanganya nakaa dar maana ukiniuliza sehemu gani siwezi kukumbuka ntajikuta nimesema UBUNGO maana ndio ninapopajua
Huhuhuh! Ata mbagala hujawaji pasikia?? Pole sana hii fursa sasa njoo nitagharamia kila kitu, kama umeolewa uage kabisa siyo uko huku dsm mumeo anapiga simu usiku.[emoji7]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani dar wanawake kwa wanaume ni matapeli.

Safari hii nikija uje kunipokea ubungo
Watakuja na gari za kuazima kwa siku elf 20 unasema maisha ndo hayaaaaa

Nyumba wanazoishi ni za maboss wao waliohamishiwa dodoma unasemaaa ebwaanaaeee watu wana maisha kumbe ushuziiii
 
Watu wa mkoani mnazingua sana! kwanza mnakula sana, pili hamjui kutembea haraka mnatembea kizembe sana!

Afu kwenu muda siyo deal mjue siye wa town riziki iko miguuni mwetu kama mbwa hivyo tuacheni tuendelee kutroti.
mkuu nimekuelewa nami natrot kimkoa
 
Back
Top Bottom