Watu wa zamani pichani walikuwa weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe?

Intermarriage na dekio mzee
 
Nadhani chakula pia kinachangia
 
Tukiacha maisha mazuri,mikorogo kuna historia pia,kumbuka miaka hyo wakoloni walikuwa hawajatutawala bado hvyo tulikuwa na rangi zetu za asili,ukiangalia uchagani rangi nyeupe imeletwa na wazungu waliopenda kuishi kule sababu ya hali ya hewa,hvyohvyo na kwa wairaq kutokea waarab au angalia watu wa Tanga na rangi za kiarabu yote ni mazao ya ukoloni.
 
Picha inatoka black&white, sasa ulitaka watu watokee wekundu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…