Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini
Ukiangalia picha za zamani za miaka 1700 1800 huko Waafrika wote inaonekana walikua weusi kabisa
Sasa miaka hii na miaka michache ya nyuma kuanzia 1900 na hadi sasa Waafrika wengi ni weupe.
Hapa nazungumzia weupe sana,na ambao wapo brown watu weusi tii ni wachache sio wengi sana mfano katika jamii fulani
Mfano nzuri angalieni Wachaga wengi tu ni weupe kabisa, lakini mfano Wajaluo wengi ni weusi tii kabisa
Sasa kwanini sasa hivi kwanini Waafrika tunasemaga ni weusi tii wakati kuna Rangi nyingi humu barani? Wapo weusi, maji ya kunde, brown, weupe na weupe sana kupitiliza yaani unakuta hadi tofauti yake na muerope ni nywele tu na lens ya jicho mfano nzuri angalia Wamarangu.
Sasa kwanini hivi? Watu wa zamani pichani walikua weusi sana, mbona sasa Waafrika wengi ni weupe? Kwanini?
1. Life, maisha yamebidilika kwa kiasi kikubwa, kipindi cha nyuma hakukuwa na usafiri wa rahisi kama ilivyo sasa, watu walitakiwa kutembea umbali mrefu kwenda makazini, masokoni, mawindoni etc Hata kwa wazungu rangi yao ya sasa karne hii wengi ni pale tofauti na kipindi hicho ilikuwa tan ukitoa familia za kifalme ambao walikaa kivunini muda mwingi.
2. Diet, kwa watu wa sasa wengi ni milo miwili kuendelea tofauti na huko mwanzo sina hakika na milo waliyokuwa wanakula ila chakula kinambadilisha mtu sana, kifupi zamani kulikuwa na shida unakuta familia ina watoto 12 hivyo kula ni mbinde
3. Camera, picha nyingi za mwanzo ni black and white hata nikiangalia picha za warabu wa zamani utaona wote ni weusi kama wewe mnyakyusa
4. Mwingiliano wa makabila, mfano wangoni wana mchanganyiko nzuri kutokana na mwingiliano mkubwa na makabila mengine kipindi cha migration yao. Zenji, Tanga, Kigoma, Tabora etc
5. Umeongelea wamarangu, hawa asiliyao ya weupe inaweza kutokana na asili yao ya kikush
6. Selective breeding, waafrika weupe wanajichagua wao kwa wao unakuta wengine weupe kuzidi
Sababu zinaweza kuwa mia saba ila kikubwa kuliko ni maisha, maisha ya sasa sio sawa na zamani maisha yamekuwa rahisi as people can easy adopt to climate change iwe joto kuna fan, a/c, mafriji ile baridi kuna mablangeti hadi ya umeme, mafuta, madawa ect