Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #181
Duh...!.Deuteronomy 5:21
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...!.Deuteronomy 5:21
Mkuu denooJ , vipi bado unajiuliza?.Bado natafakari uwepo wa zile alama za quotqtion pale juu, nikitoka hapo ndio halafu nitamalizia na Urais wa JMT 2025.
Halafu baada ya hapo nitauliza, kwani kuwa na ... ni sifa moja wapo ya kuwa Rais siku hizi?!
Sent using Jamii Forums mo
Umeona nguvu ya kauli inavyoumba?.Alishasema yeye ni namba mbili, hawezi kurudi namba tatu.
bado unauliza hili swali?,yeye anazungumzia muungano..sawa!
huo muungano una faida gani ?
hakuna anayesema muungano hauna matatizo, lakini yanatatulika na yanatatuliwa!.hivyo kusema mama samia hivyo ndio kuonesha Muungano hauna matatizo?
Hicho ndicho alichokisema Mama hapa!.Muungano kuwa unamkorogeko sio siri
TUME YA KISANGA
TUME YA NYALALI
TUME YA WARIOBA
Zote hizo zilichukua maoni ya wananchi na wakaelekeza hatua za kufuatwa
Muungano utabakia kizungumkuti kama wazanzibar hawatopew nafas ya kuongelea Muungano wautakao
RukhsaSuluhisho pekee la Muungano ni Watanzania na khasa wazanzibar waulizwe tena kwa uhuru na uwaz aina ya Muungano wautakao
Ni mimi ndio nimesema ama mimi nimeripoti tuu kilichosemwa?. Jee huyu aliyesema haya sii Mzanzibari?.Hoja ZANZIBAR inafaidika ZANZIBAR ktk Muungano hpja ya Kipuuzi sana
Pascal huwezi ukatusemea ss pia tunavinywa!
Rekebisha ni anampenda Mungu!.SAMIA kajazwa "roho mtakatifu" na anampenda YEsu!
trueHuyu mama hata kama ni mama yako, the way anaongea aisee, so sweeet and humble, eeh
Duh... Mkuu Jaji Mfawidhi !Mungu mpe mama huyu miaka aone wenzake ma dikteta wakiangamia.
Vipi, na huyu ni Mzanzibara?Kwa nini wazanzibari wengi ndio wanalalamikia "kero za muungano" halafu wazanzibara ndio huisemea Zanzibar kuwa inafaidika ?
Vipi huyu naye ni chengine au sasa umeona na umeshuhudia?.Unaweza mdomoni ukazungumza chengine, na Moyoni ukwaza chengine.
Baba Jose ni kweli na sasa Taifa linafaidika.Wanawake wengi wa kiislam haswa wa Visiwani wanajua sana kuongea kwa staha, nimesoma nao kadhaa pale UDSM enzi hizo wako vizuri sana
ndo maana yake!.Viongozi wengi wa Tanzania huwa wanazungumza vizuri tu kwa hiyo sijaona maana ya wewe kusema mama yetu Samia anazungumza vizuri labda kama ulitaka kutwambia anazungumza vizuri kuliko hata b...…..wake
Uchaguzi Mkuu wa rais anafanyikia mioyoni mwa watu siku nyingi kabla, mfano sasa japo tuko 2023, lakini uchaguzi wa rais wa JMT wa 2025 ameisha chaguliwa mioyoni mwa watu, uchaguzi ni kukamilisha tuu taratibu!.Unataka kutuaminisha kuwa uchaguzi wa rais mwaka huu umeshafanyika na mshindi kujulikana?
Hii ni hoja very valid na haijawahigi kupatiwa majibu!. hata mimi niliwahi izungumza!Huyo Mwandishi angemuuliza makamu wa rais je Revolution council ya Zanzibar kipindi hicho iliratify articles of union? Maana kuna upotoshaji mkubwa sana juu ya hili suala. Na sababu ofisi yake inahusika na Muungano nafikiri majibu anayo.
I missed this point!.Hiyo No 3 hapo , Mbona alishatowa kauli siku nyingi kuwa ,hatogombea Uraisi Zanzibar.
Labda Ampokee Magu kule bara 2020.
Tuko sawa kabisa!.Tunachapa kazi. Tunajadiri kero za muungano na hata vijiti vya 2020 na 2025.
Tuna vitu haiko sawa!
Washauri wagombee 2025 uwape kura yako.Mwanamke ambaye naweza kumpigia kura kwa Tz ni kati ya hawa wawili: 1 Fatuma Karume na Maria Sarungi, hawa ni watoto wa viongozi wakubwa sn hapa TZ lakini wamekataa kuwa sehemu ya mfumo ambao keki ya Taifa wanakula wachache, hawa wadada kaka zao wameshindwa lakini wenyewe wameweza wanapigania maslahi ya nchi na siyo maslahi yao binafsi, Fatuma Karume na Maria Sarungi kama siyo kupigia maslahi mapana ya Wtz sasahivi wangekuwa mawaziri.
malizia kusoma bandiko!.Anazungumza vizuri kwa unyenyekevu mpaka raha.[emoji15][emoji15][emoji15]
Kwahiyo unaibiwa kirahsi vile kwa maneno matamu hata kama ni ya kilaghai.?
Sijasoma bandiko lote, nimeishia hapo tu... acha niimagine hiyo mpaka raha.[emoji39]
naunga mkono hojaNilikuwa naona wanawake kuongoza taifa bado ila kwa hekima na busara zake nampa tano isitoshe pamoja na cheo alichonacho bado anatambua nafasi yake kama mama na mwanamke
dhambi gani yailahi toba!.Pascal Mayalla anajua sana haya mambo ila kaamua kujizamisha dhambini makusudi tu huyu!