Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #201
Naunga mkono hoja, kipimo kisiwe mazungumzo pekee.Kaka Pascal Tabia ya mtu huwezi kuipima kwa mazungumzo pekee yake. Suala la kuwa vizuri katka kupangilia hoja ya mambo ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania sio credit za kujiridhisha Kama mtu huyo atauweza urais ipasavyo.
Mbona nilisema kila kitu kumhusu JPM tangu 2014, nilisema Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli na baada ya uchaguzi nikasema Elections 2015 - If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him! but he kept changing for the better, hivyo nikaanza kusifu, hadi anatwaliwa ni straight peponi!.Kwa mitazamo yako kwa kigezo Cha logic katka kufanya analysis ya mambo ndio sifa kuu ya kuwa kiongozi mkuu wa nchi Basi Leo hii tusingekuwa na Rais Kama Dr John P. Magufuli pamoja na sifa kedekede ambazo umempa Mara nyingi kuhusu utendaji wake katika Taifa Hili.
Nakubaliana na wewe 100% kwa 100% na hiki ndicho wananchi wanachotaka!, changing people's mindset, Tanzania sio nchi masikini, Watanzania sio masikini!, ukichange mindset kutoka umasikini na kuwa tajiri, unakuwa tajiri!. Positive outlook and positivity na positivism attitude!.Pascal utakubaliana na Mimi kwamba Rais Magufuli hayupo vizuri Sana katka kupangilia hoja lkn yupo vizuri katka kusimamia kile anachokiamini na baadae kuleta mawazo chanya kwa wananchi.
Mimi sio msifiaji tuu kama machawa!, kila nikisifu kitu naweka na reasons, na hata huyo ninayemsifu akikosea namkosoa!.Usipokubaliana na Mimi Basi wewe Ni msifiaji tu bila kujua unachosifia kina nantiki gani ukirejerea post zako nyingi zipo humu za kusifia utendaji mzuri wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania .
Japo nakubaliana na wewe kuwa uongeaji sio utendaji, lakini naamini by now na wewe utakuwa umeona how much I was damm right!.Na ukikubaliana na Mimi kuwa uongeaji sio utendaji Basi post yako hapa juu haina mantiki yoyote zaidi ya kusifia facial expression ya Mama Samia
Naunga mkono hoja na naamini hili utakuwa umeliona na kulishuhudia.Kwahyo mi bado nakupinga kwamba upangaji wa hoja sio kigezo Cha kuwa Rais. Tanzania Sasa hatuhitaji viongozi wa kusimama majukwaani wakipanga hoja kwa umahiri ya mikakati lakn utendaji mbovu. Tunahitaji kiongozi Mwenye Kutenda zaidi kwa wananchi sio porojo
Need I say more?.
P
