Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
hapo kuna wengine wanajidai kabisa kuwa wao ni warefu kuliko wenzao na wanawadharau kabisa wenzao wengine. hapu utajua ufupi unakuwepo kulingana na mazingira na wale unaojilinganisha nao. kuna wengine hapo wameridhikaa kabisa kwamba kwenye kundi hilo wao sio wafupi.