Wezi wa chaguzi wao hawana msimu,siku zote ni za kampeniHivi kampeni ZIMESHAANZA?
Siku zote ni sikuu wakati wa uchaguzi ni wakati wa mavunoWezi wa chaguzi wao hawana msimu,siku zote ni za kampeni
Mbona sijamuona Peter Msigwa hapo?
Watajiita mashosti wa mamaKesho tutasikia na wasagaji nao wamejikusanya sijui watajiitaje.
Mimi nilifikiri utawaulizia covid19 nampox55?Mbona sijamuona Peter Msigwa hapo?
Siku hizi anajukulikana kama ''protokoli ya ikulu''. Inashangaza sana pamoja kampeni zote hizi lakini bado Samia anaiogopa CHADEMA na Lissu kwa woga wa fisi!Hiyo ni miradi ya MTU anajiita Steve Nyerere.
Ndo maana haumsikii katika misiba yupo anaokota huku
Sana.Watajiita mashosti wa mama
Hapo wengine sio wajukuu ila wajomba samia na Shangazi wa SamiaSijamuona Stefano mengele hapo au yeye ni mtu mrefu
Nimeulizia Msigwa kwenye hivyo viandunje kwa vile naye andunjeMimi nilifikiri utawaulizia covid19 nampox55?
My beloved Tanganyika🥱
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuuProject ya Lucas Mwashambwa