hapo kuna wengine wanajidai kabisa kuwa wao ni warefu kuliko wenzao na wanawadharau kabisa wenzao wengine. hapu utajua ufupi unakuwepo kulingana na mazingira na wale unaojilinganisha nao. kuna wengine hapo wameridhikaa kabisa kwamba kwenye kundi hilo wao sio wafupi.
Urefu wa kamba zaoDuh ni mwendo wa kujipakulia
Huo ndio mzuka wa hawa watu wafupi, Kesho utawasikia pia warefuPuropesa anatamani naye angekuwamo kaaa chaaawaaa,anaona kibunda cha chawa mkononi huku yeye akikodi kibajaji cha jero.Huku chawa akiwa na chevrolet la kirusi
Kwenye Taifa la wajinga yes,
Ni kwel kabisa , uwe na ushawishi fulani hata social media kama huko x unalamba bingo nono tuItakua ukiwa chawa tu wa Maza unapewa maokoto.
Hata Genta alibidi kuwepoSijamuona Stefano mengele hapo au yeye ni mtu mrefu
😅😅Tumwite mkuu?Hata Genta alibidi kuwepo
😁😁😁ahaaa muache mkuu😅😅Tumwite mkuu?
Si Ommy dimpoz kwa poz huyo chawa
Unataka kusema akina Tlatlah,Musshambwa,choice maokoto kwao ni koo?Itakua ukiwa chawa tu wa Maza unapewa maokoto.
Stivu nyerereDuh ila wapigaji wana roho mbaya sana...wamewakusanya hadi hawa?....hahaha
Kata shingo na nyayo zako utapunguabora ningekua mfupi saivi ningeokota mammmae sasa huu urefu umenisaidia nini