Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Jipigie Tu mdauView attachment 3308258
Niko kwenye mchakato wa kukatafuna haka, nimebakiza hatua chache tu nikashushie kisago! Au nitakuwa nimekosea ndugu zangu?
TANU/CCM huwa inawaita kwa dharau, eti Vimbwenelehi.Hawa wasikilizwe tu, watu wafupi ni watata sana.....
🤔🤔🤔CHAPUTA na KATAA NDOA tunakwama wapi? Hizi ishu mbona inaonekana zina asali ya kutosha
😂😂Hawa wasikilizwe tu, watu wafupi ni watata sana.....