Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kwani marafiki ni watu wa namna gani wakuu??
Nyie mnaosema mna rafiki mmoja sijui wawili, ina maana kitaa hamfahamiki kabisa??
Ukienda bar pale counter hamna anaekuja kukupa hi na story mbili tatu za hapa na pale zaidi ya huyo rafiki yako mmoja sijui wawili??
Kama ni hivyo hayo maisha ni hatari, mnaishije? Mmeajiriwa? Au mmejiajiri na kama labda ni mfanyabiashara utawezaje bila kuwachangamkia wateja??
Au labda mna wana/washkaji ila marafiki ndo hao wawili tu??