Contraband
JF-Expert Member
- Nov 14, 2021
- 1,036
- 2,807
Karibu mkuu.Ahsante kunisahihisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuu.Ahsante kunisahihisha.
😂😂 Me nilimaanisha kijapani Sasa🤣Nmepata maana yake 😂 nilimaanisha kuwa kama hao bears namna ulivyotuweka introverts tabia zetu tukiwa public ni tofauti na tukikutana na watu wa aina yetu 😂😂 kenge wee
Toka zako 😂😂😂 Me nilimaanisha kijapani Sasa🤣
Nakuelewa vizuri aise...Hahahahahahahaha
Kuna wakati natamani simu isiwe na sehemu ya call
I prefer sms kuliko call
Za kazini na wazazi sina ujanja
Kuna kipindi naweka flight mode kabisa
Au nikiwa kazini nasingizia meeting namwambia mtu tuma sms
Baadhi ya ndugu wameshasusa japo tukikutana nao niko social sana na nawapenda mno
Nasingizia kazi ila nachukia simu tu na sijui why nachukia
Nikuje mtaani kwenu Bear 😂😂Toka zako 😂
Njoo bear 😂Nikuje mtaani kwenu Bear 😂😂
Hapo kwenye inategemea na umekujaje kujaje hata mimi nipo hivyo2naish hvio hvioo
Mfano mm 60% ni introvert na 40% ni extrovert. Sasa kuonesha huo uintro ert au uextrovert inategemea ww umekujaje kujaje, na pia inategemea mm nimeamkaje sku hyo, je nna hela au sna hela!!.
Hivyo ndio vizuri tena vizuri sana sio kuzoeana na watu ovyo wanakujua mpaka ndani kwakoKaka wewe auna utofaut na mimi kabisa yani tunaweza tukapiga story vzr sana tena muda mwingi ila nikisimama hapo bac atuzoeani tena ni salamu bac kila mtu anaendelea na maisha yake
Kama unaenjoy kua mwenyewe fanya hivyo maana ni vibaya sana kua sehemu unayo hisi thamani yako imeshuka au kujihisi vibaya.Kuna muda natamani kujichanganya na kuwa na marafiki nashindwa.
Kila nikijaribu kuingia kwenye ulimwengu wa marafiki nayokutana nayo huko ni unafiki chuki fitan nk. Naamua kujiondoa naona wanayofanya si sahihi
Unakuwa na marafiki ukishapata maendeleo kidogo kuwazidi wao tayar chuki zinaanza yalinishinda
Ukiumwa nitakutembelea ukiwa na shida nitakusaidia
Lakini mazoea siyawezi hujenga chuki
Yeah njoo pm na namba zako za wasapHuu uzi umetukutanisha ma-introvert embu tujaribu kuji-pm sisi kwa sisi tuone "what will happen"
Njoo bear 😂
Unaweza kua mshkaji wangu hata hapa jukwaani but hatuwezi kua marafiki yangu.. Hapo utakua umepata picha kidogo..Nn tofauti ya rafiki na mshkaji?
Hahahahahahahaha
Kuna wakati natamani simu isiwe na sehemu ya call
I prefer sms kuliko call
Za kazini na wazazi sina ujanja
Kuna kipindi naweka flight mode kabisa
Au nikiwa kazini nasingizia meeting namwambia mtu tuma sms
Baadhi ya ndugu wameshasusa japo tukikutana nao niko social sana na nawapenda mno
Nasingizia kazi ila nachukia simu tu na sijui why nachukia
Mimi pia ni miongoni mwao ,,ila trick nliotumia kupata marafiki ,,nakumbuka baada ya kuhamia mtaa Fulani nikajiaribu kumtafuta contawar Wa mtaa yani MTU mwenye ushawishi kijiweni nkajizoesha kwake Na yeye ndo akapelekea nkapata marafiki wengi Na connection kupitia yeye ,,, wewe kama unataka kua Na marafiki mtafte MTU ambae unahisi ana ushawishi kwa watu ,,Hulka moja wapo ya watu wakimya (introverts) ni ugumu wa kujichanganya na kuzoeana na watu wapya. Hii inapelekea wengi wanajikuta hawana marafiki ukitoa watu wachache wale waliofahamiana wakati wa chuo/sekondari, biashara/kazini. Siku zinavyosonga na wanavyozidi kukukua kimaisha "cycle" ya marafiki alionao inazidi kupungua. Anabakiwa na zaidi familia tu na rafiki mmoja au wawili.
Anajikuta imefika weekend mtu anatamani kujiachia kidogo na kubadili mawazo ila akiangalia hana watu wa kujumuika nao. Akiingia bar/mgahawa anakuta majamaa wamekaa kwenye meza kwa vikundi, inabidi aidha akae meza yake mwenyewe au akae counter...lakini anakosa ile ladha ya urafiki na uhusiano walionayo wengine kwenye maisha ambapo hubadilishana mawazo na kupeana changamoto chanya za kimaisha.
Kwa upande mwingine wanakuwa ni watu wanaojitegemea (independent) kifikra na kwa mambo mengi hufanya maamuzi na kuendesha maisha bila kutegemea ushauri au mawazo ya wengine. Pia kutokana na kutokuwa na watu wengi huwa hawana zile drama/changamoto za marafiki.
Faida za marafiki ni nyingi kuliko hasara, hebu introverts toeni mbinu za kupata marafiki wapya ukubwani.
Unaendeleaje mkuu sasa hivi?Nimetoka kupata dawa za Impiramine kwenye hospitali moja kubwa hapa DSM.
Sielewi ni Introvert au ni nini. Nina loneliness moja ya kufa hata kufanya majukumu yangu sitaki kabisa. I hope it won't get worse.
I don't want to be an Introvert. It hurts.
iko hivi nna marafiki kutokana na backgrounds kuna hawa old friends, school mates, colleagues na hata room mates lakini sasa wote wananichukulia kama mtu wao wa karibu sana....kwa kila mmoja na nafasi yake
Ila tatizo mimi nawachukuliq kawaida sina yule best friend mpaka leo ila hao wanadhani mimi ni best friend wao utakuta najua vitu vingi kuhusu wao ila hao wanajua 30% kuhusu mimi!
Hivi hapo ni nn kifupi hamna mtu ntakaefunguka kwake na kujiachia 100% awe mzazi/ mpenzi always naweka guard... sijawahi amini mtu
Wanaume na nyie mnakuaga na so called best friends???