Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Ukija kwenye maisha ya madili Introvert utamuacha mbali sana,lakini inapokuja kutafuta pesa kwa kutumia akili lazima akuache mbali sana.Maisha ya madili ni lazima ushirikiane na watu wengi ndio utoke, lakini inapokuja kwenye kutumia akili hapo ni ubongo wako tu ndio utakufanya utoboe..
Kibongo bongo ukitaka kutoboa lazma uwe mtu wa madili na introvat tunapata sana tabu kupata madili mana wenye madili wanaogopa kutuambia wanahsi sisi ni maafsa usalama
 
Kuwa introvert kumenicost sana kimahusiano
Nimekuwa na small range of choice
Na usinglw mother ukaja

Ratiba yangu ikawa
1. KAZI ambayo ni too much demanding
2.FAMILIA ambayo napenda kuspent nao muda unaobaki baada ya kazi
3.KANiSANI jpili tu
4.BEING ALONE( STAREHE KUBWA) kudraw my energy

Nikaweka tangazo la mchumba hapa nikapigwa na kitu kizito nikawa single mother wa second JF baby

Kazini wengi wameoa na wengine wadogo zangu wananiheshimu balaa boss wao
 
Sijaona uhusiano wa kuwa introvert na kuwa single mother...
 
Sijaona uhusiano wa kuwa introvert na kuwa single mother...
Ukiwa na small range of choice ni more likely ukakutana na wrong partner(s) sababu uwanja wa machaguo ni mdogo sana sana sana na hata ukimpata sababu hauko social sana sio rahisi kumjua vema na sababu ya upweke he/she may take advantage of that
 
Ukiwa na small range of choice ni more likely ukakutana na wrong partner(s) sababu uwanja wa machaguo ni mdogo sana sana sana na hata ukimpata sababu haiko social sana sio rahisi kumjua vema na sababu ya upweke he/she take advantage of that
Okay.
 
Nmekuelewa Mimi nina zero friends except one 🥴😟
 
Back
Top Bottom