Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

Tafta hela broo ukiwa na pesa hao marafiki watakuja wenyewe!
Wanakuja ndio ila wanaend up kukuona unaringa au unajishaua sababu mnashindwa kubond

Anakwambia njoo Samaki samaki kila siku unampa sababu mwisho anaona anajipendekeza

Kila siku yeye ndo anaanza kupiga baadae anachoka anaacha

Kuna wakati hujisikii kupokea simu wala kuongea na yoyote anapiga hupokei

Akituma sms maneno mengi unamjibu na maneno machache

Hata kama ni wewe huwezi endelea
 
Wanakuja ndio ila wanaend up kukuona unaringa au unajishaua sababu mnashindwa kubond

Anakwambia njoo Samaki samaki kila siku unampa sababu mwisho anaona unajipendekeza

Kila siku yeye ndo anaanza kupiga baadae anachoka anaacha

Kuna wakati hujisikii kupokea simu wala kuongea na yoyote anapiga hupokei

Akituma sms maneno mengi unamjibu na maneno machache

Hata kama ni wewe huwezi endelea
😃I like this moment.Unajikuta tu hutaki kuongea.

Mimi binafsi naona kuongea sana michosho.Uzuri najua kufupisha mazungumzo.So nikiwa na mtu ambaye muongeaji sana,natumia techniques za kufanya mjadala uishe.

Unatumia maneno ya jumla,lazima ajishtukie.
 
[emoji2]I like this moment.Unajikuta tu hutaki kuongea.

Mimi binafsi naona kuongea sana michosho.Uzuri najua kufupisha mazungumzo.So nikiwa na mtu ambaye muongeaji sana,natumia techniques za kufanya mjadala uishe.

Unatumia maneno ya jumla,lazima ajishtukie.
Hahahahahahahaha
Kuna wakati natamani simu isiwe na sehemu ya call

I prefer sms kuliko call

Za kazini na wazazi sina ujanja
Kuna kipindi naweka flight mode kabisa

Au nikiwa kazini nasingizia meeting namwambia mtu tuma sms

Baadhi ya ndugu wameshasusa japo tukikutana nao niko social sana na nawapenda mno

Nasingizia kazi ila nachukia simu tu na sijui why nachukia
 
It is nice.
 
Jikagueni
FB_IMG_16602435177242465.jpg
 
Back
Top Bottom