Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

ni muhimu zaidi kuandamana hata kwaajili ya wanaikufa kwa ajali za bodaboda, magari na malori...

na ita make sense zaidi kuandamana hata kwa wanaofia mahospitalini kwa sababu mbalimbali, kifo ni kifo tu ndrugu zango, hakibagui mtoto wala mkubwa, mwanasiasa au mwalimu, tajiri au maskini n.k🐒

kwanini maandamano ya kibaguzi hvyo ndrugu zango? 🐒
 
Kama litatolewa kuhusu watekaji na wauaji maandamano ya nini tena.
 
Hao ni wananchi siyo vyama vya siasa. Maandamano ya wananchi ya lamadi hukuyaona

Vyama vya siasa vina organize tu. Hata USA wanasiasa wana andamana na wananchi kila siku.

Vilevile Vyama ni watu na ni wananchi na wanaruhusiwa kuandamana. Tanzania yenyewe vyama vinaruhusiwa kuandamana bila masharti yeyote. Wanatakiwa kuwaharifu polisi tu tena sio kuwaomba. Ikitokea fujo ndiyo hapo polisi wanatakiwa kuingilia. Huwezi tu kukataza maandamano kwasababu hupendi wanacho ongelea. Kama hatutaki upinzani Tanzania tufute na sio kuuwa watu na kuumizana bila sababu ya msingi. Halafu unawaambia watu wasubiri riport ambayo tunajua hazitoki.

Wananchi acheni uchawa wa kijinga na kutetea wauaji maana kesho anaweza akawa ndugu yako
 
ni muhimu zaidi kuandamana hata kwaajili ya wanaikufa kwa ajali za bodaboda, magari na malori...

na ita make sense zaidi kuandamana hata kwa wanaofia mahospitalini kwa sababu mbalimbali, kifo ni kifo tu ndrugu zango, hakibagui mtoto wala mkubwa, mwanasiasa au mwalimu, tajiri au maskini n.k🐒

kwanini maandamano ya kibaguzi hvyo ndrugu zango? 🐒

Ni haki na hatuwezi kupangia watu tutakayo sisi. Wewe leo unaweza kuandamana kwansababu hakuna maji au treni inaharibika kila siku ni ruksa. Kisheria inaruhusiwa ilimradi usiingize fujo
 
Usilete maigizo ya siasa 🇹🇿
Kwani hao watu milioni saba na zaidi walijiandikisha kwenye vyama sio Watanzania. Sasa kwanini sheria za maandamano zipo Tanzania! ni kwa CCM tu au. Basi toeni sheria hizi futeni vyamba tuwe kama uganda kama hamtaki vyama sio kuuwa watu na kupiga risasi wapinzani. Mambo ya kutekana hakuna Mtanzania ambaye si Chawa anafurahia hata wana CCM.
 
Hangaya anasema kifo ni kifo tu. Anauliza mbona ule ujauzito wa ujanani uliotolewa haukusemwa kama kifo cha Kibao?
 
Ndio maana ukaambiwa Tz n nchi huru, hvy usifananishe na nchi zingine wanavyoendesha mambo yao
 
Ni haki na hatuwezi kupangia watu tutakayo sisi. Wewe leo unaweza kuandamana kwansababu hakuna maji au treni inaharibika kila siku ni ruksa. Kisheria inaruhusiwa ilimradi usiingize fujo
kwani kufa pia si haki ya mja wa Mwenyezi Mungu, ama?

hivi wewe utakufaje kwa mfano?🐒
 
Karibu tarehe 23 wewe na wanao

USSR
 
Chawa nenda kwenye topic za machawa wenzako achana na zangu
una chako kutoka wapi kwenye jukwaa huru na la wazi kama hili gentleman?

chako ni huo usingizi umeacha na hako kabando ka jero tu, tuliza mihemko na makasiriko unapokua eneo huru la wazi, na ni muhimu kujua hilo 🐒
 
Back
Top Bottom