ni muhimu zaidi kuandamana hata kwaajili ya wanaikufa kwa ajali za bodaboda, magari na malori...
na ita make sense zaidi kuandamana hata kwa wanaofia mahospitalini kwa sababu mbalimbali, kifo ni kifo tu ndrugu zango, hakibagui mtoto wala mkubwa, mwanasiasa au mwalimu, tajiri au maskini n.k🐒
kwanini maandamano ya kibaguzi hvyo ndrugu zango? 🐒
NDUGU YANGU USIPOTOSHE, NARUDIA USIPOTOSHE..NIFUATE HAPA CHINI NIKUPE DARASA ,TUELIMISHE WATU SIO KUWAPOTOSHA..
Ndugu yangu, Comrade
Tlaatlaah Siungi Mkono machafuko Aina yoyote ile wala Mtu yoyote mwenye kupanga kufanya mapinduzi,Maovu aunkuchafua taswira wala itikadi ya chama changu kwani tunaamini au inajikita kwenye Ujamaa
Ila kwa Hili Umejibu bila kufikiria Pengine ni Muhemko wa Hoja aliyoitoa Alikuwa Upande usioupenda..
Nakujua Kwa nondo unazotoa ila kwa hili utanisamehe nipingane na wewe Kisomi..
kwakuwa umejibu bila kuhusisha Intellectual Thinking..
Moja kwa moja niende kwenye Hoja Uliyoitanguliza...
Kifo hakiwezi kuwa Sawa kwa muktadha wowote ule labda kama unazungumzia kidini ila sio kisheria na kisiasa..
Kuna
Natural Cause of Dealth na
Un-natural cause of Dealth..
Kifo cha mtu aliyekufa kwa Malaria sio sawa na kifo cha mtu aliyechomwa na Kisu au aliyepatwa na ajali yaani kukatishwa Uhai..
Na ndo maana Kifo cha Malaria na vifo vingi naturally huwa havina Postmortem Labda kama Ndugu watahitaji kujiridhisha..
ila ni matakwa ya Kisheria kwa Un-natural dealth Zote kufanyiwa Uchunguzi...
Nikukumbushe Hata kwenye aina Ya kifo kwenye Cheti cha Kifo (Dealth Type) huandikwa Unnatural cause au Natural cause..
SIamini Kuwa Ulichokisema ni Msimamo au Itikadi ya Chama Hata kama kitakuwa Kimesemwa na Kiongozi wa Chama kwani kwenye katiba ya Chama Changu Cha CCM toleo la mwaka 2022,Ibara ya 4 ibara ndogo ya (1) kuhusu Imani ya Chama chama Kinaamini Binadamu wote ni sawa! (Hii kauli nitaitumia Baadae kwenye Conclusion)
Hata hivyo tukisoma katika ibara ya 8 (2) ikisomwa pamoja na Ibara ya 8(6) ya Katiba hiyo hiyo ya chama Toleo la 2022..
"
Masharti ya kuwa Mwanachama wa CCM ni mtu anayefanya juhudi kuielewa, kuielezea kuitetea na Kutekeleza itikadi ya CCM, na kwamba kwa wakati wote ni mfano wa tabia nzuri,kwa vitendo vyake na kauli yake"
NA kauli uliyotoa si Mojawapo wa Itkadi.ya chama kwahyo ni vizuri ukachutama na Kutafuta Muda Kujifunza kuhusu itikadi ya chama na Yapi hasa ni maneno ya Kuongea Maana nimeona Ulipoongea CHAMA kimeanza Kutukanwa Kupitia wewe..
hili Halikubaliki hasa Tunapoelkea kwenye Uchaguzi
Katiba yetu Ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977, Ibara ya 14 na 15..Imejielekeza wazi kuhusu Haki ya Kuishi, Kufungwa kwa Nguvu au Kukamatwa kwa mabavu na hata kuuliwa..
Labda Pengine Upofu umekuja kwenye Kauli yako.ya Kila Kifo ni sawa nimeelezea Kuhusu Natural na unnatural Death ila hata hivyo..
Kwenye Vifo visivyo Vya asili "yaani vya kukatishwa" uhai vimegawanyika katika makundi mawili..
Murder Case na Manslaughter case...
Yaani kukatisha Uhai kwa Kukusudia na Kukatisha Uhai kwa kutokukusudia na Hivyo vyote Vipo kwenye sheria zetu, au hukubahatika kuvisoma??
Bhasi nifatilize hapa..
Kwa Mujibu wa
Sheria ya Kanuni ya Adhabu ya Makosa ya Jinai Sura ya 16 (Penal Cap 16) marekebisho ya mwaka 2022.. Ibara ya 194 na 196,197 na 198
Imeeleza na Kutofautisha aina za Vifo vya kukatishwa Uhai..
Kwa lugha ya Kingereza..
Kwa Lugha ya Kiswahili
Sio hivyo hata Adhabu katika Sheria umeona Ziko tofauti hapo kwenye ibara ya 197 na 198 (Sheria ya Kiswahili) ikiwa Imethibitika kwa kosa hilo limetendwa..
Pia hata Hiyo Manslaughter yaani kuua bila kukusudiwa Imetafsiriwa Vizuri kabisa na Sheria hiyo hiyo kuanzia
ibara ya 201 mpaka 203 na adhabu yake iko wazi kabisa..
Lets say wewe umeenda Nyumbani umekuta Kuna mtu yupo na Mkeo na kwenye ubishani ukaamua kumuua itaangaliwa Muda wa Hasira ilipotokea na Tukio la kuua ili iamuliwe kama ni Manslaughter au Ni murder..
na ikumbukwe hata ukisema Nakuua Leo na ukashindwa Kumuua hiyo itachukuliwa kama Attempting Murderer ..TUSOME SHERIA ZIKO WAZI
kwa Kingereza
Kwa Waswahili..
NARUDIA TENA SI KILA KIFO KINAFANANA VIFO HAVIFANANI NA KINGINE TUSIPOTOSHE