Usilete maigizo ya siasa πΉπΏIndia
View: https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OYUK
View: https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1tsUkrain
View: https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria
View: https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_lZimbabwe
View: https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs
Port au Prince
View: https://youtu.be/0_neIa60ajc?si=6wbXPpUiOQSCz9kT
USA
View: https://youtu.be/gu6GnX02Vgo?si=0qPMF0ZfVh8XqVtd
Mama tusubiri uchunguzi na kuona ni powa tu! hii sio sawa
ni muhimu zaidi kuandamana hata kwaajili ya wanaikufa kwa ajali za bodaboda, magari na malori...India
View: https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OYUK
View: https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1tsUkrain
View: https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria
View: https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_lZimbabwe
View: https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs
Port au Prince
View: https://youtu.be/0_neIa60ajc?si=6wbXPpUiOQSCz9kT
USA
View: https://youtu.be/gu6GnX02Vgo?si=0qPMF0ZfVh8XqVtd
Mama tusubiri uchunguzi na kuona ni powa tu! hii sio sawa
Hao ni wananchi siyo vyama vya siasa. Maandamano ya wananchi ya lamadi hukuyaonaIndia
View: https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OYUK
View: https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1tsUkrain
View: https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria
View: https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_lZimbabwe
View: https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs
Port au Prince
View: https://youtu.be/0_neIa60ajc?si=6wbXPpUiOQSCz9kT
USA
View: https://youtu.be/gu6GnX02Vgo?si=0qPMF0ZfVh8XqVtd
Mama tusubiri uchunguzi na kuona ni powa tu! hii sio sawa
Hao ni wananchi siyo vyama vya siasa. Maandamano ya wananchi ya lamadi hukuyaona
ni muhimu zaidi kuandamana hata kwaajili ya wanaikufa kwa ajali za bodaboda, magari na malori...
na ita make sense zaidi kuandamana hata kwa wanaofia mahospitalini kwa sababu mbalimbali, kifo ni kifo tu ndrugu zango, hakibagui mtoto wala mkubwa, mwanasiasa au mwalimu, tajiri au maskini n.kπ
kwanini maandamano ya kibaguzi hvyo ndrugu zango? π
Kwani hao watu milioni saba na zaidi walijiandikisha kwenye vyama sio Watanzania. Sasa kwanini sheria za maandamano zipo Tanzania! ni kwa CCM tu au. Basi toeni sheria hizi futeni vyamba tuwe kama uganda kama hamtaki vyama sio kuuwa watu na kupiga risasi wapinzani. Mambo ya kutekana hakuna Mtanzania ambaye si Chawa anafurahia hata wana CCM.Usilete maigizo ya siasa πΉπΏ
kwani kufa pia si haki ya mja wa Mwenyezi Mungu, ama?Ni haki na hatuwezi kupangia watu tutakayo sisi. Wewe leo unaweza kuandamana kwansababu hakuna maji au treni inaharibika kila siku ni ruksa. Kisheria inaruhusiwa ilimradi usiingize fujo
kwani kufa pia si haki ya mja wa Mwenyezi Mungu, ama?
hivi wewe utakufaje kwa mfano?π
Inasikitisha sanaIndia
View: https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OYUK
View: https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1tsUkrain
View: https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte
Nigeria
View: https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_lZimbabwe
View: https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs
Port au Prince
View: https://youtu.be/0_neIa60ajc?si=6wbXPpUiOQSCz9kT
USA
View: https://youtu.be/gu6GnX02Vgo?si=0qPMF0ZfVh8XqVtd
Mama tusubiri uchunguzi na kuona ni powa tu! hii sio sawa
Sasa vyoo vyetu maofisini tena kwenye offisi za umma, vichafu na maji yanapotea bure maana take nini
100% correct, issue ya perfection ni mtihani mkubwa sana. Unakuta na mtu msomi lakini hata alivyosomea anavifanya kwa bla bla sana.
una chako kutoka wapi kwenye jukwaa huru na la wazi kama hili gentleman?Chawa nenda kwenye topic za machawa wenzako achana na zangu