Watu wakuu(greatness) wanakuwa na baraka hizi kutoka kwa Mungu

Watu wakuu(greatness) wanakuwa na baraka hizi kutoka kwa Mungu

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
997
Mambo ambayo Mungu akitaka kukuinua na kuwa mtu mkubwa(born for greatness) anakubariki

1.Mungu anakupa heshima ambayo watu watakupenda na kukuamini

2.Upako(power), Mungu atapokuinua atakupa uwezo wa kutenda miujiza au kubadilisha tabia za watu na kuwa bora

3.ushawishi(influence), Mungu anapokuinua anakupa uwezo wa ushawishi ili kufikia watu wengi neno la bwana na kubadilisha maisha ya watu .

4.unyenyekevu(humble), Mungu anapokuinua anakupa tabia ya unyenyekevu hili uweze hudumia watu kwa heshima na upendo.

5.utajiri(wealth)
Mungu anapokuinua anakupa utajiri sababu anakuamini hivyo uta utumia kuwasaidia watu wengine au kuwainua watu wengine

6.utosherezi(Abundance)
Mungu anapokuinua anayafanya maisha yako yanakuwa na amani, afya, utajiri, upendo ambavyo vinapelekea kuwa na furaha.

Kifungu cha bibilia

Isaya 61:1–3

“Roho wa Bwana MUNGU yu juu yangu; kwa maana Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema…
 
Back
Top Bottom