Chikenpox
JF-Expert Member
- Oct 15, 2022
- 784
- 1,246
Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented.
Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote anakaa ofisini tu hajui afanye kazi gani.
Wahasibu wengi wizara ya fedha ni vilaza hawajui hata analysis ya chochote lakini hakuna wa kuwaangalia.
Ukija huku polisi au jeshi ndio madudu yamejaa. Mtu hajui hata kuandika maelezo ya mtuhumiwa japo wanajiita eti wanaintelligency sijui hiyo intelligence unatoka wapi wakati ukimuangalia unatamani umnyang'anye pen uanze kunifundisha hata kuandika.
Jeshini nako wanashinda wanalewa tu Maana hakuna kazi ya kufanya hata ukichunguza institutions wanazomiliki Kama shule walimu wa kijeshi ni vilaza hawajui chochote.
Nilicho-conclude ni kwamba wenye akili na big brains wako mtaani wanakufa kwa stress tu hasa anapoona mtu aliyesoma naye kilaza wa kutupwa ndio kashikilia kitengo kinachohitaji mtu mwenye akili kama yeye lakini yeye anakufa kwa kutopata connection tu.