Watu walio kwenye utumishi wa umma karibu wote ni vilaza ukitoa wahadhiri wa vyuo vikuu

Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented.

Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote anakaa ofisini tu hajui afanye kazi gani.

Wahasibu wengi wizara ya fedha ni vilaza hawajui hata analysis ya chochote lakini hakuna wa kuwaangalia.

Ukija huku polisi au jeshi ndio madudu yamejaa. Mtu hajui hata kuandika maelezo ya mtuhumiwa japo wanajiita eti wanaintelligency sijui hiyo intelligence unatoka wapi wakati ukimuangalia unatamani umnyang'anye pen uanze kunifundisha hata kuandika.

Jeshini nako wanashinda wanalewa tu Maana hakuna kazi ya kufanya hata ukichunguza institutions wanazomiliki Kama shule walimu wa kijeshi ni vilaza hawajui chochote.

Nilicho-conclude ni kwamba wenye akili na big brains wako mtaani wanakufa kwa stress tu hasa anapoona mtu aliyesoma naye kilaza wa kutupwa ndio kashikilia kitengo kinachohitaji mtu mwenye akili kama yeye lakini yeye anakufa kwa kutopata connection tu.
Dogo tulia Unyolewe...
 
  • Tatizo ukishaajiriwa utatakiwa ufuate sheria, kanuni, taratibu, na sera zilizopo; huwezi kuwa mbunifu, au kuja na kitu chako kichwani "innovation'​
  • Wakurugenzi n.k wengi wao wameajiriwa kisiasa, na kufanya taasisi kwenda kisiasa; hii pia inaharibu utendaji.​
 
Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented.

Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote anakaa ofisini tu hajui afanye kazi gani.

Wahasibu wengi wizara ya fedha ni vilaza hawajui hata analysis ya chochote lakini hakuna wa kuwaangalia.

Ukija huku polisi au jeshi ndio madudu yamejaa. Mtu hajui hata kuandika maelezo ya mtuhumiwa japo wanajiita eti wanaintelligency sijui hiyo intelligence unatoka wapi wakati ukimuangalia unatamani umnyang'anye pen uanze kunifundisha hata kuandika.

Jeshini nako wanashinda wanalewa tu Maana hakuna kazi ya kufanya hata ukichunguza institutions wanazomiliki Kama shule walimu wa kijeshi ni vilaza hawajui chochote.

Nilicho-conclude ni kwamba wenye akili na big brains wako mtaani wanakufa kwa stress tu hasa anapoona mtu aliyesoma naye kilaza wa kutupwa ndio kashikilia kitengo kinachohitaji mtu mwenye akili kama yeye lakini yeye anakufa kwa kutopata connection tu.
Nawe jitahidi uende ukalewe,
 
Wahadhiri wenyewe wamichongo wanavutana hasa vyuo kama udsm huwezi kupata kazi pale kama sio mchaga au mhaya..hata kama kwenye usaili usitoboe watatfuta namna upate kazi.

Sasa utegemee hapo utapata watu competent kweli.?kimsingi wajanja na smart brains huwezi kuwakuta utumishi waumma wengi wapo private sectors.

#MaendeleoHayanaChama
Huwa unawashwa na wachaga sana,si na wewe usome?
 
Back
Top Bottom