Watu walioanzia certificate na kisha kwenda Diploma alafu Shahada wasipewe vyeo vikubwa, waishie kwenye fundi

Ibilisi Mjalaana

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,297
Reaction score
16,529
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa

Lakn kwenye kuhitaji reasoning, analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.

Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu, kuropoka na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.

Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65(sio diploma ya kuresit resit) kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.

Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.

Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
 
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa

Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.

Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.

Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.

Kweli kabisa hawa watu ni vilaza sana
 
Critical thinking si kwa Kila Mtu, anaweza Mtu akawa na certificate tu kazini na ndio akawa Masterplaner.
Critical thinking inafundishwa kama alifel form four anawezaje kuwa critical thinker? Kila jambo Lina misingi yake hata kama wapo wanaozaliwa na vipawa si Kwa Tanzania na matokeo tunayaona yapo dhahiri hizo nyingne ni kutetea ugal tu
 
Hujui kama kuna nyakati m
wanafunzi walifelishwa kwa kuwa hapakuwa na taasisi za kuwapokea iwapo watafaulishwa!!! Yaani unamaliza la saba ila sekondari hamna, au zipo chache mno. Unapambana kivyako kuisaka elimu... Anyway utakuwa bado kijana mdogo
 
Hujui kama kuna nyakati mwanafunzi walifelishwa kwa kuwa hapakuwa na taasisi za kuwapokea iwapo watafaulishwa!!! Yaani unamaliza la saba ila sekondari hamna, au zipo cache mno. Unapambana kivyako kuisaka elimu... Anyway utakuwa bado kijana mdogo
Siongelei kipndi Cha ukolon naongelea haya yanayoendelea Sasa, tatzo la uchache wa shule Kwa kiwango HICHO Tanzania hatuna Toka enzi za kikwete
 
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa

Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.

Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.

Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.

Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.

Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
hii phonomenon inaitwa "sizitaki mbichi hizi", u will be jobless forever
 
Siongelei kipndi Cha ukolon naongelea haya yanayoendelea Sasa, tatzo la uchache wa shule Kwa kiwango HICHO Tanzania hatuna Toka enzi za kikwete
kungekuwa na shule chache, usingekuwa jobless (umeathiriwa na "the law of supply and demand"), universities ziko 58, na sekondari kila kata nchi nzima
 
utafiti wa wizara ya utumishi uliochapishwa na gazeti la Nipashe mapema mwaka huu likimnukuu waziri Simbachawene, asilimia 40 ya watumishi serikalini ni mizigo....

.....tuanzie hapo kwa kutua hiyo mizigo....possibly hata huyo unayemlenga naye ni mzigo... 😀
 
unamnukuu mtu ambaye ndyo mzigo mkubwa sana kwa wapiga kura, huyu mtu ni heavy LIABILITY kwa walipa kodi
 
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa

Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.

Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.

Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.

Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.

Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Wivu na kinyongo dhidi ya watu fulani.We pambana na hali yako usilazimishe mtazamo wako wa kipuuzi.
 
Back
Top Bottom