Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
Hana Advanced Diploma ana Plain Ordinary Diploma na kachukua Masters bila kupita Degree, kwa hio jichunguzeWenye advanced diploma wanaruhusiwa kusoma master's

Kuna wale ma Dr PhD na maprof wazee, wapo darasa la saba.Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Hili ni tatzo tutakujua kustuka kumekucha,Kuna watu nasikia wameshashika nafasi za juu kabisa za uongozi halafu Civics ya form 4 walikula mswaki😏
Una ugomvi na Bashite?Hili ni tatzo tutakujua kustuka kumekucha,
Theory yako haina mashiko kabisaKwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Hao ndo wamefanya tuwe hivi Leo lkn elimu ya zaman na Sasa n tofauti la Saba wa mwaka 90s anaupeo kuliko certificate wa 2015sKuna wale ma Dr PhD na maprof wazee, wapo darasa la saba.
Namfahamu mmoja alishakuwa mkuu wa chuo kikuu pale moro.
Alianza ualimu wa UPE
akaenda certificate
Diploma
Degree
Masters
PhD
Aisee ila amestaafu muda tuu.
Mkuu hili ni tatizo sema kwasabab tunatetea matumbo hatuwezi ona kwasasa labda vizaz vjavyoUna ugomvi na Bashite?
Nimekuuliza hujajibu swaliMkuu hili ni tatizo sema kwasabab tunatetea matumbo hatuwezi ona kwasasa labda vizaz vjavyo
Una safar ndefu sana kama bado una iko kichwa chako cha 4m4/6 A ambayo inakutesa.Hilo lipo wazi certificate ni kwaajir ya vilaza, halafu kuhusu kupata diploma sjui digrii kwa bongo sio ishu Kaa tafakari
Unavyoandika unakwaza kishenzi,umesoma elimu ya msingi??mm,sjawah,striking,kwasas,nazan,zaid,wafanyakaz,wtf bro jifunze kuandika ndio uwe na audacity ya kukosoa uwezo wa wengine kwenye Reasoning and critical thinkingMm sjawah kuomba kazi serikalin hivo Sina la kulaumu Kwa kwasas naongelea uhalisia nazan hata Kuna tafiti ilifanyika walisema Zaid ya asimia 60 ya wafanyakaz wa serikali ni mizigo
Maada Yako Haina mashiko asilimia 70 ya wafanyakaz wa serikali ni diploma kushuka nchini, digrii na kuendelea ni AIsilimia 30, kuhusu theory na practical elimu yetu kiujumla n ya kukariri madesa, jambo la mwisho mtu aloanza certificate diploma then degree ni tofaut sana na aloanza digrii Moja kwa Moja au diploma then digrii.Theory yako haina mashiko kabisa
Na si kweli 75% ya watumish wamepitia huko (unless ni miaka ya 90sna 2000s) ila kwa sasa almost 70% ya watumishi ni fresh from university
Lakin pia hakuna kabisa relation eti alipita hiyo path reasoning.
How in hell amepata hiyo degree without thinking? Without reasoning?
Degree ziko za aina mbili, bachelor of na bachelor of science in . Mmoja ni theory sana mwingine heabily based on practicality
Kushindwa ku reason kunategemea na mtu mwenyewe, si path aliyopita kusoma
Mtaalam hoja unayo japo unalazimisha kile ulichonacho ndio kieleweke kwa wadau.Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Mkuu naongelea kuhusu wafanyakaz wa serikali, mambo ya kuingia msituni sio kigezo Cha kuajiriwa serikalin.Una safar ndefu sana kama bado una iko kichwa chako cha 4m4/6 A ambayo inakutesa.
Vua Joho uingie msituni dogo maisha ni mawindo, Depressio itakuua
Sasa km unalijua hili umekuja kuandika nini hapa wewe unaonekana una msongo mkali wa mawazo kwa kuzidiwa Gap na madogo waliopiga Certificate na sasa wameula wewe unabakia kuapiga soga tuhalafu kuhusu kupata diploma sjui digrii kwa bongo sio ishu Kaa tafakari
Kwa haya maelezo yako yalitakuwa kuambatana na MIFANO HAI ya namna watu wenye Degree walivyoweza kufanya mambo kwa UFANISI MKUBWA na wa HALI ya JUUKwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Huwez kuizid akili serkali kwa hiyo akili yako ya Shahada empty.Mkuu naongelea kuhusu wafanyakaz wa serikali, mambo ya kuingia msituni sio kigezo Cha kuajiriwa serikalin.
Halaf jitahidi kuelewa kabla ujaropoka hili ni tatzo la watanzania wengi, kuongea bila kufikiri
Mkuu nmekuelewa lkn tusitoke nje ya mada, unaweza kuwa na digrii Lakn hiyo digrii umeipataje na kwamfumo Gani ndo jambo la msingi, Mambo ya key performance indicator hayo hayajatusaidia kitu kwasisi watanzania znajazwa kutimiza wajibu tu hivo hazko relevantMtaalam hoja unayo japo unalazimisha kile ulichonacho ndio kieleweke kwa wadau.
Kufaulu form 4 au 6 na kwenda chuo kikuu au kwenda diploma/certificate sio kipimo cha ufanisi wa kazi. Ukija kazini utakutana na KPI's ndio itatoa majibu sahihi.
Hapo kwenye ushauri wako sijaelewa. Ina maana serikali huwa inaajiri kwa kuangalia aliyetaja kiwango kidogo cha malipo?Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Siongelei wenye degree hapa naongelea jinsi na njia ya kupatikana hiyo digrii nazan utaelewa Sasa mada inazungumzia nnKwa haya maelezo yako yalitakuwa kuambatana na MIFANO HAI ya namna watu wenye Degree walivyoweza kufanya mambo kwa UFANISI MKUBWA na wa HALI ya JUU
Sio malipo nimesema cheap labour, pia nmeongelea swala la njia na jinsi ya upatikanaj wa hizo digrii ndo msingi wa huu uziHapo kwenye ushauri wako sijaelewa. Ina maana serikali huwa inaajiri kwa kuangalia aliyetaja kiwango kidogo cha malipo?