Mhhhh, umenikumbusha ugomvi tuliokuwa nao Kati ya, DIT na UDSM,Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Serikali hyohyo ndo inabadilisha sera zake pia kwenye kuajiri, halaf slazmish uelewe lolote lile na sjaandika huu Uzi kukuelewesha wwHuwez kuizid akili serkali kwa hiyo akili yako ya Shahada empty.
Umethibitisha ujinga wako tangu mwanzo unataka nikuelewe nini?
Una ugomvi na Bashite?UKweli mtupu, hawa watu wana vichwa vizito sana.
Mkuu Hilo ni tatzo pia, Lakn uwez kuhalalisha tatzo Moja kupitia lingne lkn jua asilimia kubwa ya wafanyakaz serikalin wanaelimu hyo, au wamepitia mtindo huo wa elimu had kuwa na digrii hzo ustegemee mabadiliko hata Kwa wenye digrii za mtindo huo (Kwa mfumo wa kujiendeleza kimasomo wakiwa kazin)Mhhhh, umenikumbusha ugomvi tuliokuwa nao Kati ya, DIT na UDSM,
Nikuulize unafikiri Eron musk, Zuckerberg wana degree au, diploma? Kama akili yako, sio, nzuri hata kama ulitoka six ukaenda degree na PHD utaishia kufanya madudu, hao ambao hawakupitia cheti na diploma wametufikisha wapi? Nchi mpaka Leo haina uwezo wa kutengeneza channel wala toothpick
Mama Samia mwenyewe kaishia form fourKwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Uko sahihi lakini sio kwa asilimia 100% wako direct from school vilaza wako certificate vilazaa vile vile wako certificate wana talent na wabunifu kazini same to direct , na kimsingi fresh from school ndo wengi wanaojiunga na vyuo vikuu kuliko hawa wa certificate wanao upgrade , makazini watu wa degree wengi ni fresh, certificate wengi wanachukua degree wakiwa kazini na sio wote ni wachache kwa namba.Mkuu nmekuelewa lkn tusitoke nje ya mada, unaweza kuwa na digrii Lakn hiyo digrii umeipataje na kwamfumo Gani ndo jambo la msingi, Mambo ya key performance indicator hayo hayajatusaidia kitu kwasisi watanzania znajazwa kutimiza wajibu tu hivo hazko relevant
Una matatizo yako binafsi yaan watu wasiongeze ujuzi wakiwa kazini kwa ujinga wako wewe mtu mmoja mwenye akili finyu?Mkuu Hilo ni tatzo pia, Lakn uwez kuhalalisha tatzo Moja kupitia lingne lkn jua asilimia kubwa ya wafanyakaz serikalin wanaelimu hyo, au wamepitia mtindo huo wa elimu had kuwa na digrii hzo ustegemee mabadiliko hata Kwa wenye digrii za mtindo huo (Kwa mfumo wa kujiendeleza kimasomo wakiwa kazin)
Nmekuelewa kakaUko sahihi lakini sio kwa asilimia 100% wako direct from school vilaza wako certificate vilazaa vile vile wako certificate wana talent na wabunifu kazini same to direct , na kimsingi fresh from school ndo wengi wanaojiunga na vyuo vikuu kuliko hawa wa certificate wanao upgrade , makazini watu wa degree wengi ni fresh, certificate wengi wanachukua degree wakiwa kazini na sio wote ni wachache kwa namba.
Ceo na wakuu wa idara wengi ni direct from 6 and 4 hawa wa certificate mpaka degree kwanza kusoma tu wanachukua muda ivyo vyeo wanavipata kwa kuchelewa sana.
Ofisi nyingi zinaongozwa na direct
Refer bungeni nenda kwa majaji na wenye mawaziri
Huyu ndio anapochokonoa hukoMama Samia mwenyewe kaishia form four
Advanced DiplomaNmekuelewa kaka
Hilo n tatzo Sasa ndo maana nasema ustegemee makubwa kutoka Kwa watu sampuli hiyo kamwe hata uwe profesa lkn ukiwa umepita huo uprofesa kiujanja ujanja madhaifu Yako yatakua dhahiri wa watu wanaojielewa na mifano tunayo ming ya maprofes na PhD Dr wa ujanja ujanja walivo empty kichwanUna matatizo yako binafsi yaan watu wasiongeze ujuzi wakiwa kazini kwa ujinga wako wewe mtu mmoja mwenye akili finyu?
Sasa hili ndo bomu nalozungumzia Lakn watu wanahamisha magoli na kukwepa huu ukwel na kuanza kunishambulia Kwa vile nimegusa kwenye mshonoKuna dogo alipata D mbili au tatu, akaenda chuo huko singida; juzi naambiwa amechukua degree ya account
nikaogopa sana.....
Umeogopa nini ulijuaje wakati anapata hizo D 2 alikua anapitia wakati gani au alikua kwenye mazingira gani?Kuna dogo alipata D mbili au tatu, akaenda chuo huko singida; juzi naambiwa amechukua degree ya account
nikaogopa sana.....
Maana yake ukifeli kidato cha 4 au 6 sio kwamba maisha yako ya shule yamekwama. Unaenda kuanza cheti kwa utaratibu huo huo mpaka utapata shahada yako. Ni mfumo sahihi ambao umefanikiwa mpaka sasa mtaalam.Mkuu nmekuelewa lkn tusitoke nje ya mada, unaweza kuwa na digrii Lakn hiyo digrii umeipataje na kwamfumo Gani ndo jambo la msingi, Mambo ya key performance indicator hayo hayajatusaidia kitu kwasisi watanzania znajazwa kutimiza wajibu tu hivo hazko relevant
Hili sña ushaid nalo Wala hata sjawah fatiliaMama Samia mwenyewe kaishia form four
Jibu swaliSasa hili ndo bomu nalozungumzia Lakn watu wanahamisha magoli na kukwepa huu ukwel na kuanza kunishambulia Kwa vile nimegusa kwenye mshono
Huoni umuhimu ni ufanisi wa kazi inayotakiwa kufanywa.Siongelei wenye degree hapa naongelea jinsi na njia ya kupatikana hiyo digrii nazan utaelewa Sasa mada inazungumzia nn
ni maneno ya mwanasiasa, hakuna ukweli wowoteMm sjawah kuomba kazi serikalin hivo Sina la kulaumu Kwa kwasas naongelea uhalisia nazan hata Kuna tafiti ilifanyika walisema Zaid ya asimia 60 ya wafanyakaz wa serikali ni mizigo
Hzo degree za ujanja ujanja haztusaidii Zaid ya kuzalisha wajnga wenye digrii, na hili wizara ya elimu wameliona kwasasa Hujafika kidato Cha SITA basi jua huwez abadan kufundisha shule za sekondariMaana yake ukifeli kidato cha 4 au 6 sio kwamba maisha yako ya shule yamekwama. Unaenda kuanza cheti kwa utaratibu huo huo mpaka utapata shahada yako. Ni mfumo sahihi ambao umefanikiwa mpaka sasa mtaalam.
Au ulitaka tupendekeze hivi ukianzia cheti ni mwisho Diploma kwa sababu utakosa hiyo critical thinking, analysing, managing na formulating.