Watu walioanzia certificate na kisha kwenda Diploma alafu Shahada wasipewe vyeo vikubwa, waishie kwenye fundi

Watu walioanzia certificate na kisha kwenda Diploma alafu Shahada wasipewe vyeo vikubwa, waishie kwenye fundi

Maada Yako Haina mashiko asilimia 70 ya wafanyakaz wa serikali ni diploma kushuka nchini, digrii na kuendelea ni AIsilimia 30, kuhusu theory na practical elimu yetu kiujumla n ya kukariri madesa, jambo la mwisho mtu aloanza certificate diploma then degree ni tofaut sana na aloanza digrii Moja kwa Moja au diploma then digrii.

Kama unabisha sawa wenye kuelewa wataelewa maana njaa zinatutoa ufahamu wa Tanzania
Based on what data kwamba serikal ina watumish wa diploma wengi kuliko degree

Based on what data?

Source?
 
Kama Wewe unaeandika 'Lakn, ili tizame, Kwahy, hyo, lkn' ndo msomi mwenye hafadhali unaestahili kupewa kazi za ofisini wenzako cert na dip wapewe blue collor jobs basi taifa lina vilaza wengi sana.
 
Based on what data kwamba serikal ina watumish wa diploma wengi kuliko degree

Based on what data?

Source?

Makadirio ya Viwango vya Elimu kwa Watumishi wa Umma Tanzania

| Form Four | Takriban 15% |

| Cheti (Certificate) | Takriban 5% |

| Diploma | Takriban 40% |

| Shahada (Degree) | Takriban 27% |

| Shahada ya Uzamili (Master's) | Takriban 10% |
| Shahada ya Uzamivu (PhD) | Chini ya 1% |

| Profesa | Chini ya 0.1% |

Maelezo ya Ziada:

- Diploma: Tafiti zinaonyesha kuwa idadi kubwa ya watumishi wa umma wana elimu ya diploma, hasa katika sekta za afya, elimu, na utawala wa serikali za mitaa.

- Shahada (Degree): Watumishi wengi wa ngazi ya kati hadi ya juu wana shahada za kwanza, hasa katika sekta za elimu ya juu, afya, na utawala wa serikali kuu.

- Shahada ya Uzamili (Master's) na Uzamivu (PhD): Idadi ya watumishi wenye shahada hizi ni ndogo, na wengi wao wanapatikana katika vyuo vikuu na taasisi za utafiti.

- Profesa: Cheo cha Profesa ni nadra katika utumishi wa umma, na wengi wa wenye cheo hiki hupatikana katika taasisi za elimu ya juu na utafiti.

Chanzo:
1. ResearchGate: www.researchgate.net/publication/271184279_Impact_of_public_sector_reforms_on_service_delivery_in_Tanzania?

Chakuchekesha HAO wa certificate watajiendeleza kupata diploma na hao WA diploma watajiendeleza kupata degree PAMOJA na hao certificate pia, kwahyo cycle ya wajinga inapanda chati kwenda juu Kila baada ya mwaka.

Hoja YANGU inanguvu sana kwawatu wanaopenda nchi Yao kabla matumbo yao
 
Kama Wewe unaeandika 'Lakn, ili tizame, Kwahy, hyo, lkn' ndo msomi mwenye hafadhali unaestahili kupewa kazi za ofisini wenzako cert na dip wapewe blue collor jobs basi taifa lina vilaza wengi sana.
Mzee usijaji uandishi natumia simu kuandika na Simu hyohyo natumia kuchat na jamaa na marafiki na swez kubadili Au kuedit Kila word prediction kukuridhisha ww
 
Luajiri vyeti badala ya uwezo ndio sababu leo hii tupo hapa. Uwezo wa utendaji kuna muda hauwiani na vyeti ya watu. Kuna watu wana elimu kubwa na vyeti vizuri ila ni vilaza kinoma kazini. Kuna watu wana vyeti vya kawaida tu ila wanatekeleza majukumu yao kwa asilimia nyingi sana. Ushari wangu vyeti vibaki kuwa kigezo namba moja ya kuifikia ajira ila uwezo uwe kigezo kikuu cha kuipata ajira
 
Uwezo wa mtu upimwa Kwa mafanikio yake ya kielimu Kwa nchi zote maskini ambazo hatuna vumbuzi zozote za kueleweka na zenye tija, hvo academic performance ndo kiashiria kikubwa Cha uwezo wa mtu kumudu wajibu wake kazn na kama vyeti havna maana watu wasisome maana uwez Jua huyu anauwezo kuliko huyu kipindi cha recruitment Zaid Zaid muongeaj sana atapata nafas kuliko mtendaji
 
Watu waliopitia certificate wana uwanja mpana wa kuajiriwa huku wakiemdelea na masomo.
Lakn haiondoi kwamba n vilaza na ni risk kuwa nao kama kwel mnataka kuendelea hasa kweny KAZI za akil Zaid kuliko nguvu, hvo wawe mafundi na Kaz za matendo ndo znawafaa
 
Umesema kaanza cheti halafu diploma halafu degree halafu unasema ni cheap labour!
Mm=mimi
Lakn=lakini
Lkn =lakini
Shulen=shuleni.
Kwa uandishi huu upeo wako nadhani unajua mwenyewe.
Uandishi huo hauna tatizo, ni mkato wa maneno ambao unaeleweka, unafupisha chapisho. Shida ipo kwenye hoja. Ameshindwa kuthibitisha uduni wa mhitimu wa chuo kikuu alie enda moja kwa moja na alie kwama O level au A level na kupitia njia ya mzunguko.
 
Dah
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa

Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.

Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.

Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.

Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.

Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serika
 
Dah umeongea pumba sana ndg yangu inaonekana hujui kosa n la nan ila unataka kusaisha makosa nkupe mfano rahis kada ya ualimu, kijana anakwenda chuo anaanza masomo ngaz ya diploma alaf miez michache serikal inafuta diploma waanzie tena certificate hio n mwaka 2017. Miaka michache baadae serikal hio hio imefuta tena certificate inaanzsha diploma hapo mwanafunz kosa lake liko wap
 
Kwanini hawafuti degree ukiona sehemu wanafutafuta mambo ujue Kuna shida na wameiona lkn kwasasa nadhani diploma wanafanya mtihani wa kidato Cha SITA Kwa masomo wanayofundsha
 
Usilaum wa2 kusoma kwa kuunga unga laum mfumo wa elimu wa taifa,
Kwan hao waliinza na degree uko university si ndio hao kila siku wanatrend mitandaoni kw maovu na uchafu hao umewaweka kundi gan wakiajiriwa na serikali
Usibeze watu kwa elimu zao ww kama n mtu mzma bas ata ww safar yako ya elimu imebebwa na walim wenye certificate
 
Aliesema unachuki binafsi na waajiriwa hajakosea, sasa kama kuna shida hio shida aliesababisha ni nani, hata ww sio critical thinker
 
Kwanini hawafuti degree ukiona sehemu wanafutafuta mambo ujue Kuna shida na wameiona lkn kwasasa nadhani diploma wanafanya mtihani wa kidato Cha SITA Kwa masomo wanayofundsha
Yan unaulza kwann hawafut degree😁😁 ww baki mtaani utatuongezea mzigo serikalini huna tofauti na hao kina adolfu
 
Back
Top Bottom