Mm sjawah kuomba kazi serikalin hivo Sina la kulaumu Kwa kwasas naongelea uhalisia nazan hata Kuna tafiti ilifanyika walisema Zaid ya asimia 60 ya wafanyakaz wa serikali ni mizigokungekuwa na shule chache, usingekuwa jobless (umeathiriwa na "the law of supply and demand"), universities ziko 58, na sekondari kila kata nchi nzima
Inaonyesha una hasira nao sana mkuu,mbona nchi inasonga tu na mendeleo yapo...Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa asilimia kubwa
Lakn kwenye kihitaji reasoning analysing na critical thinking huku tunawaonea sana na hatutaendelea daima.
Naiomba serikali Ili tazame hili Kwa undani zaidi Bora waonekane wabaya lakini walisaidie taifa, maana asilimia karibia 75 ya watumishi WA serikali japo Sina data za kuthibitisha hili ndo elimu Yao ilivyo hivo kwahy ustegemee lolote la ajabu kutoka watu WA staili hyo, wengi wanaendekeza majungu uvivu na kukesha online kuliko kuhudumia au kusaidia taifa na kutimiza wajibu wake.
Watu walioanzia diploma Hawa nawaamini Kwa asilimia zaidi ya 65 kwasabab wengi walikua serious shulen sema changamoto zetu za kielimu zikawapoteza kuonesha uwezo wao hasa walosoma shule za St kayumba.
Lkn WA certificate kidogo wa kozi za afya Sheria na injinia lkn hizo kozi nyingne hawaaminik hata robo.
Ushauri tuache kuajiri cheap labour kama kwel tunataka kuiondoa nchi hii kwenye umasikini hasa sehemu zinazohitaji watu serious kama serikalin
Endelea kusema upuuz kwavile umelengwa lkn ndo ukweli vilaza uko n wengi kuliko wanaojitambua na lipo uchi sana hiliWivu na kinyongo dhidi ya watu fulani.We pambana na hali yako usilazimishe mtazamo wako wa kipuuzi.
Kuwa serious hii nchi inamatatzo meng sana hasa wafanyakaz wa serikali hawauthamini uhuru wao ukiwapa uhuru kidogo basi jua utaumiza zaidi ya watu Milion 60 wanategemea huduma kutoka kwao, na tatizo kubwa ni elimu tuInaonyesha una hasira nao sana mkuu,mbona nchi inasonga tu na mendeleo yapo...
Nazan hujaelewa nazungumzia nini na hili ndo tatzo linapoanzia, ilimu ya Tanzania inabebwa na kidato Cha nne na SITA tu, kama mtu alishindwa kuanza diploma BAADA ya kumaliza kidato Cha nne Moja Kwa Moja au kuendelea na kidato Cha SITA na ikatakiwa aanze kusoma certificate then diploma then degree huyu mtu si wakumuamnAkili huna, kwamba hiyo Shahada uliosoma hapo juu na aliyosoma yeye ni madarasa tofauti au hizo critical thinking wewe ulizipatia wapi ndugu jobless/cheap labour?
Hizo ni ngazi zimewekwa na watu wenye uelewa kuzidi wewe huwezi sema eti mtoto alieanza Chekechea na yule alieanza darasa la pili bila kwenda Chekechea na darasa la kwanza alienza darasa la pili ni bora zaidi kuliko yule aliepitia Chekechea unaelewa maanaNaongelea elimu huwezi ajiri mtu alopita njia za PANYA zilizo rasmi ukategemea matokeo makubwa
Kuna kitu huelewi na asiejua maana haambiwi maana, mwenye Masters ambae hakupitia Degree ndio wa kumuamini zaidi kuliko aliepitia Degree?Nazan hujaelewa nazungumzia nini na hili ndo tatzo linapoanzia, ilimu ya Tanzania inabebwa na kidato Cha nne na SITA tu, kama mtu alishindwa kuanza diploma BAADA ya kumaliza kidato Cha nne Moja Kwa Moja au kuendelea na kidato Cha SITA na ikatakiwa aanze kusoma certificate then diploma then degree huyu mtu si wakumuamn
Kwamba Certificate wanasoma watu waliofeli au? Na hapo Diploma inakuaje wanachangamana na wenzao wa 4m4 na 6 clean, na hapo Shahada huwa wanafauluje kama hawaaminiki?Nazan hujaelewa nazungumzia nini na hili ndo tatzo linapoanzia, ilimu ya Tanzania inabebwa na kidato Cha nne na SITA tu, kama mtu alishindwa kuanza diploma BAADA ya kumaliza kidato Cha nne Moja Kwa Moja au kuendelea na kidato Cha SITA na ikatakiwa aanze kusoma certificate then diploma then degree huyu mtu si wakumuamn
Sawa niambie Sasa kwanin wamebadili sera ya kuajiri walimu wa sekondari ambapo mpaka uwe umesoma kidato Cha SITA ndo unaajiriwa kama mwalimu wa sekondari, wamegundua nini maana hata hili n haohao wizara ya elimuHizo ni ngazi zimewekwa na watu wenye uelewa kuzidi wewe huwezi sema eti mtoto alieanza Chekechea na yule alieanza darasa la pili bila kwenda Chekechea na darasa la kwanza alienza darasa la pili ni bora zaidi kuliko yule aliepitia Chekechea unaelewa maana
Master's ambayo Haina degree haitambulik uko nje na hata Tanzania haitambulika soon, hayo mambo ya advanced diploma yashapitwa na wakati nKuna kitu huelewi na asiejua maana haambiwi maana, mwenye Masters ambae hakupitia Degree ndio wa kumuamini zaidi kuliko aliepitia Degree?
Kumbe wewe unawazungumzia Walimu sasa kwanini hukwenda straight unazungukq nini?Sawa niambie Sasa kwanin wamebadili sera ya kuajiri walimu wa sekondari ambapo mpaka uwe umesoma kidato Cha SITA ndo unaajiriwa kama mwalimu wa sekondari, wamegundua nini maana hata hili n haohao wizara ya elimu
Hilo lipo wazi certificate ni kwaajir ya vilaza, halafu kuhusu kupata diploma sjui digrii kwa bongo sio ishu Kaa tafakariKwamba Certificate wanasoma watu waliofeli au? Na hapo Diploma inakuaje wanachangamana na wenzao wa 4m4 na 6 clean, na hapo Shahada huwa wanafauluje kama hawaaminiki?
Acha Ego dogo maisha hayako hivyo we pambana upatennafasi nzuri upige hela si lazima mwenzio akose ili wewe upate.
Hahaha kuna Naibu waziri wako mmoja ana Masters na hakuwahi kusoma Degree kabla ya kuchukua Masters, upo Nchi gani wewe?Master's ambayo Haina degree haitambulik uko nje na hata Tanzania haitambulika soon, hayo mambo ya advanced diploma yashapitwa na wakati n
Wameanzia hapo na wengine watafikiwa n swala la muda tu, na mm nazungumzia kada zoteKumbe wewe unawazungumzia Walimu sasa kwanini hukwenda straight unazungukq nini?
Wenye advanced diploma wanaruhusiwa kusoma master'sHahaha kuna Naibu waziri wako mmoja ana Masters na hakuwahi kusoma Degree kabla ya kuchukua Masters, upo Nchi gani wewe?