Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #101
Duuuh.....
Kuna mawili hapa.
Mosi unajua ulichoandika ni crap lakini hauna jinsi nyingine maana ndicho kinachokuweka mjini.
Pili wewe ni wale watu waliopata platform ya kuandika au kuskika ila kuna virutubisho ubongo ulikosa.
Mkuu ulikuwa unataka kusemaje?Kwa hio magufuli alitaka ukomo wa chama chake uondolewe au ukomo wa kuongoza nchi Yani ccm ni kokoro la matakataka.
Labda ni kana wa chadema. Kama ni kada sitamlaumu maana anatetea upande wake wapate ugali mwingi wagawane.Mtu anakuambia CHADEMA ni yawanachadema kama mjinga.
Alafu huyohuyo utamsikia akiikosoa CCM wakati yeye sio mwanaccm.
Labda ni kana wa chadema. Kama ni kada sitamlaumu maana anatetea upande wake wapate ugali mwingi wagawane.
Ila unapokuwa kwenye public platform kidogo ajarbu kumake sense.
Chama cha siasa sio Mali ya watu fulani. Ndiyo maana wanalipwa ruzuku kupitia kodi zetu. Ndiyo maana wanapoaddress hawasemi tunaongea na wanachadema tu.
Siwezi kuikosa CCM kwa kuamua kutoa fomu moja tu ya urais au kuamua kutofanya uchaguzi wa ushindani wa nafasi ya mwenyekiti wao. Nitaikosa CCM watakapotoa kauli za kuhamasisha wapinzani wao wapotezwe, wadhuriwe au wadhulimiwe, nitaikosoa CCM pale ambapo sheria za nchi zinafanywa nyepesi kwao huko kwa wengine wasio wanachama zikikazwa, nitawakosoa CCM pale ambapo watatumia rasiliamali za nchi kufanyia siasa(lakini wakiamua kugawana ruzuku yao cash wale pilau au wakafanyie matumizi dubai mimi hainuhusu, zaidi sana labda nitamtaka CAG awajibike). Nashangaa Watanzania wengi logical thinking yenu ni ya kiwango duni kiasi cha kushindwa kuelewa mambo mepesi kama haya.Mtu anakuambia CHADEMA ni yawanachadema kama mjinga.
Alafu huyohuyo utamsikia akiikosoa CCM wakati yeye sio mwanaccm.
Siwezi kuikosa CCM kwa kuamua kutoa fomu moja tu ya urais au kuamua kutofanya uchaguzi wa ushindani wa nafasi ya mwenyekiti wao. Nitaikosa CCM watakapotoa kauli za kuhamasisha wapinzani wao wapotezwe, wadhuriwe au wadhulimiwe, nitaikosoa CCM pale ambapo sheria za nchi zinafanywa nyepesi kwao huko kwa wengine wasio wanachama zikikazwa, nitawakosoa CCM pale ambapo watatumia rasiliamali za nchi kufanyia siasa(lakini wakiamua kugawana ruzuku yao cash wale pilau au wakafanyie matumizi dubai mimi hainuhusu, zaidi sana labda nitamtaka CAG awajibike)
CCM ilianzishwa mwaka 1977, waliopewa uhuru ni TANU.Wewe utaikosoa CCM kama Nani na sio mwanaccm?
Rasilimali za nchi niza CCM Hilo unalijua?
Hii nchi ni nchi ya CCM.
CCM ndio walipewa Uhuru.
Nchi hii inaongozwa na Sheria za CCM.
Umeambiwa kama chadema ni mali ya wote wewe ccm nenda kachukue fomu ya kugombea nafasi ya uenyekit chademaKwaiyo lisu anaelalamikia umwinyi uchawa ndani chadema ni CCM nyie machawa wa mbowe mna hoja nyepesi sana
CCM ilianzishwa mwaka 1977, waliopewa uhuru ni TANU.
Hii nchi sio ya CCM.
Hata ingekuwa ni kweli hao CCM walipewa uhuru bado nchi isingekuwa ya kwao.
Mtu yeyote au taasisi yeyote inayosababisha ukatili na madhara kwa raia wengine inakosolewa tu iwe CCM, Yanga, Muislamu, Mkatoliki au mpgani. Wakatoliki wamekosolewa sana tu na waislamu na wapagani kwa vitendo vya unyannyasaji wa kingono kwa watoto vilivyofanywa na makasisi wao.
Hii comment imeonyesha ujinga ulio nao juzi tu hapa watu wamepewa mchele wenye lishe kutoka marekani marahii tu umesahau kazi ipoTanzania haijawahi kupewa msaada zaidi ya mikopo.
Rushwa iliyo ndani ya CHADEMA inakuathiri vipi wewe mwanaCCM??TANU Ndio hiyohiyo CCM. Labda kama wewe ndio umeamua kutokuliona Hilo.
Sasa kama taasisi yoyote inayosababisha madhara au isiyofuata misingi ya HAKI inapaswa kusemwa, kwa nini hutaki CHADEMA isemwe ikiwa kuna sehemu inapuyanga?
Mfano, Lisu na wengineo wakisema kuhusu rushwa zinazoendelea CHADEMA aina yenu mnampinga na kumwona msaliti.
Lakini ninyininyi ndio vinara wa kunyooshea vidole wengine.
Najaribu kusema nini;
Kwamba tusiwe na mawe mawili ya kupimia
Ccm ni munganiko wa ASP na TANU uko shuleni huwaga mnasoma niniTANU Ndio hiyohiyo CCM. Labda kama wewe ndio umeamua kutokuliona Hilo.
Sasa kama taasisi yoyote inayosababisha madhara au isiyofuata misingi ya HAKI inapaswa kusemwa, kwa nini hutaki CHADEMA isemwe ikiwa kuna sehemu inapuyanga?
Mfano, Lisu na wengineo wakisema kuhusu rushwa zinazoendelea CHADEMA aina yenu mnampinga na kumwona msaliti.
Lakini ninyininyi ndio vinara wa kunyooshea vidole wengine.
Najaribu kusema nini;
Kwamba tusiwe na mawe mawili ya kupimia
Hii comment imeonyesha ujinga ulio nao juzi tu hapa watu wamepewa mchele wenye lishe kutoka marekani marahii tu umesahau kazi ipo
Umehamisha tena magoli ule ni msaada mahindi ya Yanga ni msaada ya miaka 1980'sMarekani ni nchi ya kibeberu/kibepari kamwe haiwezi kutoa msaada bure.
Labda kama hujui maana ya ubepari.
Kwanini bepari hawezi kutoa msaada bure?Marekani ni nchi ya kibeberu/kibepari kamwe haiwezi kutoa msaada bure.
Labda kama hujui maana ya ubepari.
Rushwa iliyo ndani ya CHADEMA inakuathiri vipi wewe mwanaCCM??
Ndo maana tunaita ni Mali za umma na sio vikundi vya kikabilaKila mwaka makanisa na misikiti wanakula ruzuku pia.
Umehamisha tena magoli ule ni msaada mahindi ya Yanga ni msaada ya miaka 1980's
Kwanini bepari hawezi kutoa msaada bure?