Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

Duuuh.....

Kuna mawili hapa.

Mosi unajua ulichoandika ni crap lakini hauna jinsi nyingine maana ndicho kinachokuweka mjini.

Pili wewe ni wale watu waliopata platform ya kuandika au kuskika ila kuna virutubisho ubongo ulikosa.

Mtu anakuambia CHADEMA ni yawanachadema kama mjinga.
Alafu huyohuyo utamsikia akiikosoa CCM wakati yeye sio mwanaccm.
 
Labda ni kana wa chadema. Kama ni kada sitamlaumu maana anatetea upande wake wapate ugali mwingi wagawane.
Ila unapokuwa kwenye public platform kidogo ajarbu kumake sense.

Chama cha siasa sio Mali ya watu fulani. Ndiyo maana wanalipwa ruzuku kupitia kodi zetu. Ndiyo maana wanapoaddress hawasemi tunaongea na wanachadema tu.
 
Ni kweli kabisa
Jambo la aibu ambalo wengi wanalisema ni kuwa inawezekana vipi mtu anaponda wengine wanakula nyama ya nguruwe alafu yeye nyumbani anaenda kula Supu ya Nguruwe.

Ukimuuliza anakuambia Mimi sijala nyama ya Nguruwe ila nimekunywa Supu yake.
 
Mtu anakuambia CHADEMA ni yawanachadema kama mjinga.
Alafu huyohuyo utamsikia akiikosoa CCM wakati yeye sio mwanaccm.
Siwezi kuikosa CCM kwa kuamua kutoa fomu moja tu ya urais au kuamua kutofanya uchaguzi wa ushindani wa nafasi ya mwenyekiti wao. Nitaikosa CCM watakapotoa kauli za kuhamasisha wapinzani wao wapotezwe, wadhuriwe au wadhulimiwe, nitaikosoa CCM pale ambapo sheria za nchi zinafanywa nyepesi kwao huko kwa wengine wasio wanachama zikikazwa, nitawakosoa CCM pale ambapo watatumia rasiliamali za nchi kufanyia siasa(lakini wakiamua kugawana ruzuku yao cash wale pilau au wakafanyie matumizi dubai mimi hainuhusu, zaidi sana labda nitamtaka CAG awajibike). Nashangaa Watanzania wengi logical thinking yenu ni ya kiwango duni kiasi cha kushindwa kuelewa mambo mepesi kama haya.
 
Siwezi kuikosa CCM kwa kuamua kutoa fomu moja tu ya urais au kuamua kutofanya uchaguzi wa ushindani wa nafasi ya mwenyekiti wao. Nitaikosa CCM watakapotoa kauli za kuhamasisha wapinzani wao wapotezwe, wadhuriwe au wadhulimiwe, nitaikosoa CCM pale ambapo sheria za nchi zinafanywa nyepesi kwao huko kwa wengine wasio wanachama zikikazwa, nitawakosoa CCM pale ambapo watatumia rasiliamali za nchi kufanyia siasa(lakini wakiamua kugawana ruzuku yao cash wale pilau au wakafanyie matumizi dubai mimi hainuhusu, zaidi sana labda nitamtaka CAG awajibike)

Wewe utaikosoa CCM kama Nani na sio mwanaccm?

Rasilimali za nchi niza CCM Hilo unalijua?

Hii nchi ni nchi ya CCM.
CCM ndio walipewa Uhuru.
Nchi hii inaongozwa na Sheria za CCM.
 
CCM ilianzishwa mwaka 1977, waliopewa uhuru ni TANU.
Hii nchi sio ya CCM.
Hata ingekuwa ni kweli hao CCM walipewa uhuru bado nchi isingekuwa ya kwao.
Mtu yeyote au taasisi yeyote inayosababisha ukatili na madhara kwa raia wengine inakosolewa tu iwe CCM, Yanga, Muislamu, Mkatoliki au mpgani. Wakatoliki wamekosolewa sana tu na waislamu na wapagani kwa vitendo vya unyannyasaji wa kingono kwa watoto vilivyofanywa na makasisi wao.
 
TANU Ndio hiyohiyo CCM. Labda kama wewe ndio umeamua kutokuliona Hilo.

Sasa kama taasisi yoyote inayosababisha madhara au isiyofuata misingi ya HAKI inapaswa kusemwa, kwa nini hutaki CHADEMA isemwe ikiwa kuna sehemu inapuyanga?

Mfano, Lisu na wengineo wakisema kuhusu rushwa zinazoendelea CHADEMA aina yenu mnampinga na kumwona msaliti.

Lakini ninyininyi ndio vinara wa kunyooshea vidole wengine.

Najaribu kusema nini;
Kwamba tusiwe na mawe mawili ya kupimia
 
Rushwa iliyo ndani ya CHADEMA inakuathiri vipi wewe mwanaCCM??
 
Ccm ni munganiko wa ASP na TANU uko shuleni huwaga mnasoma nini
TANU na ccm vinautofauti mkubwa sana
 
Rushwa iliyo ndani ya CHADEMA inakuathiri vipi wewe mwanaCCM??

Kwani watu wanapotekwa na kuuawa Mimi inaniathiri nini?
Mimi ndio natekwa?
Mimi ndio nimeuawa?

Rushwa ndani ya CHADEMA, ACT, na vyama vingine inanihusu kwa sababu wanaonewa ni Watanzania wenzangu.
Pili, ni kosa kisheria kutoa na kupokea rushwa.
Tatu, Kodi yangu inatumiwa na CHADEMA
 
Back
Top Bottom