Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia


Kuna watu ambao hawaamini kuwa kifo kipo, japokuwa watu wanakufa kila siku, so ni hvyo mkuu
 

ila kuna baadhi ya mambo ni man made ila wanayajengea sura ya uungu ili yapate kuaminiwa na kuogopesha...kwa mfano huyo ambae aliyesema ukristo utakufa duniani thn kesho yake akakutwa amekufa, u never knw! may b walimuuwa kwa kuwa aliwaydhi watu fulani kwa kauli hiyo..lkn cha kushangaza wanamsingizia mungu wakati ni conspiracy za binadamu against othrs....ukiwa -------- utadanganywa na kila kitu, km mwenyezi mungu angekuwa anatumia principle hio ya ukifanya kosa anakuondoa bac dunia ingekuwa underpopulated nw, maana maasi ni mengi....
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu ambao hawa amin kabisa kuwa mungu yupo, wanasema fiction kama wewe, bimafsi sijaona kitu ambacho kimeweza kukubalika na kuaminika ulimwengu mzima pasipokukoselewa.
Binafsi siwezi kubishana na mtu kuhusu imani yake (huo utakuwa ni wendawazimu) Imani ni Imani na kila mtu anaamini kile anachoamini kulingana na misingi ya Imani yake (who is me or you to try and prove him/her otherwise)

Ila linapokuja suala la facts la kusema fulani alikufa kwa ugonjwa huu wakati ni mwingine au aliyejenga Titanic alisema maneno ambayo sio proven.... well we just call a spade a spade and in this case ni kwamba hivyo ulivyotaja ni Fiction na Unproven... Hata huyo raisi wa Brazil ni kwamba aliugua na kufa baada ya mwezi na Vice President ndio alichukua nafasi yake na haijawahi kuwa proven kama kweli alisema maneno unayosema alisema
 

Mithali 16:4
BWANA amefanya kila kitu kwa kusudi lake;
Naam , hata wabaya kwa siku ya ubaya.
(NIV)
Mithali 16:4
Mwenyezi - Mungu ameumba kila kitu kwa kusudi lake;
Hata waovu kwa ajili ya siku ya maangamizi.
(GNV)
 
-Gaddafi Alisema Africa ingekumbatia uislam ingepiga hatua sana..halafu akaongezea hata Yesu angekuwa hai angekuwa mfuasi wa mohamed...nadhani mnajua alipoishia na jinsi alivyoisha. -Saddam alijisifu sana kuwa km babau Yake Nebukadneza...na akajisifu kuwa na yeyey atawatumikisha Waisraeli km babu yake.....Sadamu alichukuliwa shimoni akiwa na nyweli kibao km mnyama....km babu yake huyo aliyekimbilia porini na kutoka akiwa na manyoya km mnyama.
 
mimi nachokataa ni kuwa hakuna miungu wengine kuna mungu mmoja tu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa.

Mungu wa isaka ndo ile miungu ya kipagani ambayo haipaswi kuitwa mungu.
 
mungu hathibitishwi uwepo wake kwa kufanya mazingaombwe.
 
mimi nachokataa ni kuwa hakuna miungu wengine kuna mungu mmoja tu ambae hakuzaa wala hakuzaliwa.

Mungu wa isaka ndo ile miungu ya kipagani ambayo haipaswi kuitwa mungu.

Kuna kitu hujakielewa...huyu Mungu wako unayemuamini wewe kama na mimi ninamuamini ninaweza kusema nanaamini katika Mungu wa Elungata(nikwa nina maana ninaamini katika Mungu yule yule wa Elungata anayemuamini)
 
then kama huyo mungu wa waisraeli alikuwa ni mungu wa wanadamu wote,kwanini asiwaonyeshe njia hao wamisri nao waache kuabudu masanamu?.huoni kuwa huyo mungu wao yaani Yhweh alikua ni kuajiri yao waisrael,wewe mnyantuzu unaingiaje hapo kama hata wamisri jirani kabsa hawakuhusika na huyo mungu?.

Rejea kitabu cha waflume wa kwanza na wapili visome vyote anzia mwanzo hadi mwisho utaelewa nina maana gani.
Kuna wakati mfalme wa babel aliteka yuda,akawapeleka wote utumwani babel na hapo yuda akaleta watu kukaa,lakini ili wakae salama ilibidi waende na masharti ya MUNGU WA HIYO NCHI.
Ikabidi mpaka waende babel kumleta myahudi mmoja aje awe kuhani wao. Ndo kusema huyo mungu wa yakobo alikua kwa ajili ya hiyo nchi.
Pia huyo jehova alikua anapingana na baal ambae alikua ni mungu wa milima,wakati huyo wa waisrael alikua mungu wa tambalare.
Isome vizuri wafalme utaona kipindi hicho ilikua maarufu kujenga maeneo ya juu,ama nyumba iliyoinuka sana.ukifanya hivo ilionekana kama unamuabudu Baal na jehova alichofanya ni kukuua.
 
Kuna kitu hujakielewa...huyu Mungu wako unayemuamini wewe kama na mimi ninamuamini ninaweza kusema nanaamini katika Mungu wa Elungata(nikwa nina maana ninaamini katika Mungu yule yule wa Elungata anayemuamini)
naelewa vizuri sana,lengo langu hapa ni kuonyesha kuwa isaack na yakubu walikua wanaabudu mungu alietwa Yahweh...huyu yahwew kiukweli google history yake utaona kuwa he was a stormy pagan god of war,ndo maana kuna mahali wanataja mungu wa majeshi,alikua ni mungu wa uharibifu na mapigano na hilo liko well documented ndani ya bible.

Huyu Yahwew ama jehova hata yesu mwenyewe hajapata kumtaja kuwa ndo mungu,hata kipindi yesu anakata roho hapo msalabani kwa mjibu wa bible alitaja,ELLOH ELLOH na si jehova.
So mi nasema mungu wa isaack na jacob was a pagan god.
 

Rafiki yng tutaendelea jioni na huu mjadala wetu naingia church Muda so mrefu! Nikija ntaanzia hapa!

Samahani kwa usumbufu!
 
issue huja pale mtu anapojaribu kuforce anachoamini yeye ndo kiko sawa na kwamba ni lazima ukifuate or else...

Sasa ukikuta mtu yuko aware hawezi kukubali kirahisi...hapa kila mtu aheshimu imani ya mwingine na si kujaribu juu chini mtu aamini kile unachodhani wewe ndo kiko sawa na vya wengine wote viko wrong.
 
mungu hathibitishwi uwepo wake kwa kufanya mazingaombwe.


Sio mazingaombwe Mkuu! Eliya aliwambia wale watu waachane na Mungu Baal na kumwabudu Mungu Wa kweli wakawa hawataki ndio Ikafika hatuo kuipima Hiyo miungu!

Tumeona ata kwa Nuhu, Musa, Nebuchadnezzar Daniel etc! Sio mazingaombwe Bali Mungu alitaka kujidhirisha kwao Kua ndio kila kitu!
 
Rafiki yng tutaendelea jioni na huu mjadala wetu naingia church Muda so mrefu! Nikija ntaanzia hapa!

Samahani kwa usumbufu!
ooh,leo sabato ya bwana...poa. Ibada njema..nimesari sana SDA miaka ya nyuma kipindi niko shule.
 

Hapo hapana vitisho hata chembe; unahitaji kujua tu kuwa Mungu yup ni mwenye mamlaka na nguvu; Mwingi wa huruma na rehema mtumainiye yeye usitumainiye akili zako.
 

Mkuu Jile79 kwa hivyo unataka niamini

Yesu ni mungu!!!

Katika mfano wako Baba hawezi kuwa na uwezo sawa na mtoto..(mwalimu na mwanafunzi)

Hivyo Ukristo unaamini mungu zaidi ya mmoja?

Yesu alikufa na kufufuka..Dunia ilikosa uwepo wa Mungu kwa siku tatu?

Yesu ni Emanuel..Je unaweza kueleza ni wapi Maria alimuita kwa jina Emanuel??

Jina Yesu limetokea wapi?

Mkuu Jile79 naomba majibu yako..Waislam Tunaisoma Bible pia..

Ingawa hakuna neno Bible kwenye Bible yenyewe..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jile79 mbona kama unachanganya mambo? Kwahyo kuna Mungu wangapi?
 

Upotoshaji, kwa jinsi unavyoanza kuiamini Google hukawii kuiita Mungu.
 
Mungu ni yeye yule jana na hata milele haijalishi anasemwa vipi anatukanwa vipi,
Mhubiri 11:9 Wewe kijana uufurahie ujana wako, na moyo wako ukuchangamshe siku za ujana wako,ukaziendee njia za moyo wako na katika maono ya macho yako, LAKINI kwa hayo yote Mungu atakuleta HUKUMUNI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…