Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Thread hii kama zingine zinaanza vyema lakini ilikofikia sasa ni Dhihaka tupu..... Acheni Dhihaka ni hatari sana........
 
Feesttyle ndio nini?hata mbwa hawana free style..hata samaki na hata ndege wanaotoka australia na kwenda zaa south africa hanaa style isiyo na kesho wala jana,wala life isiyo na destine..hat wale nyumbu wa serengeti wana patterns zianzojulikana na kufanyiwa utafiti kwa uzao wao kwa karne nyingi sana. usiatuambie hata hapa huji unataka achieve nini?..what a shame..unapotezea watu muda hapa..kumbe ni hopeless.....
ongea point bana,una maana gani ?tabu iko kwako wewe unaewaza ndani ya box.just cause babaparoko alikwambia hivi then you cant think otherwise.your mind has been controlled.

You just a brainwashed shirtlifter.
 
Yesu kutokutambuliwa na Wayahudi inajulikana hata wakati wa Yesu mwenyewe

Na alisema hilo mara nyingi

Leta ushahidi wa hili!

Hizo ni story na wengi wanaosema hizi story huko Israel wanakusikia na kukusoma mitandaoni waambie waulize walioenda sio kuunga tela tu Wangeukataza Ukristo Wakristo wasingeenda kuhiji kule na hata makanisa yange fungwa ukienda kule kuona maisha yalivyo na wanayo shupalia hawa wavaa vibarakashia ni vitu viwili tofaut kabisa.
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha

Mungu alituachia free will,ili tuchague mema na mabaya, imagine dunia bila dhambi..!sijui kama tungetambua uwepo wa mungu, shetani yupo ili tumshinde usidanganyike na elimu ndogo uliyonayo na kuiona biblia kama utenzi eti unabeza na unaomba ushahidi wa uwepo wake..nkikwambia nimemuona jana utabisha?ts more of faith and belief &very strong than science.
 
ongea point bana,una maana gani ?tabu iko kwako wewe unaewaza ndani ya box.just cause babaparoko alikwambia hivi then you cant think otherwise.your mind has been controlled. You just a brainwashed shirtlifter.
haha..ndani ya box wakati tumeshakuacha uchi hapa...kwena huko mpuuzi wewe hata wanyama wanakudhinda...
 
Hizo ni story na wengi wanaosema hizi story huko Israel wanakusikia na kukusoma mitandaoni waambie waulize walioenda sio kuunga tela tu Wangeukataza Ukristo Wakristo wasingeenda kuhiji kule na hata makanisa yange fungwa ukienda kule kuona maisha yalivyo na wanayo shupalia hawa wavaa vibarakashia ni vitu viwili tofaut kabisa.
Haha..yaani hawa jamaa wameumbwa kwa fitna na din yao ni ya Fitna..Eti malaika wa mauaji anaitwa Israeli.....ndicho wanchotamka ktk vifo vyao,na mahubiri yao ya vifo....kwanini isiwe rahisi kugeuzwa kufanya chuki kwa Israeli...? Wala hawaoni aibu......Taifa ambalo limepata jina kwa Mungu wanayejipendekeza kwake wanaita taifa lake malaika wa mauaji.....mara nyingine huwa napata feeling kuwa Wanapata vifo vingi sana hawa jamaa ktk harakati zao za giza, na Mungu wa wa Israel anawaua huko huko..,si mara moja mabingwa wa uganga wa vitabu,na malezi ya majinn..kufa wakitaka shambulia wafuasi ya Yehova..hata John msoma Ramli sanaa zake ktk TV na utabiri ziliisha hivyo hivyo....ndio kitu nafanyia tafiti
 
Hapo tu nashindwa kukuelewa una nia gani? Ulivyotaka uthibisho wa baba wa Yesu kitabu chako kimeshindwa? Hoja zimekuishia unaleta dhihaka.
haha..nimekupa swali,nikitaka utumie kitabu chako kujibu..ukarudisha kwangu..nikakuuliza kwa wema tuu huku nikiweka kicheko km tabasamu...Ili unihakikishie kuwa kitabu chako kimeshindwa kwanza.Kumbuka ni nafasi pekee niliyokupa ili kuthibitisha kuwa kitabu chako si bogus kihivyo.Muda wote nimekuwa sitaki hiyo mistari iliyokaa mika mpangilio wa cronologies..wala kauli zilizothibistishwa kuwa kweli.
 
Mwinyi aliendekeza makanisa kuchomwa, shule kuchomwa na waislam..wanafunzi wa kiislam wa kike na kiume walikuwa wakiogopeka..walipenda kuansiha migomo ili wawaongoze wengine wasiojua kuchoma shule... Leo Mwinyi anashughudia kushamiri kwa Ukristu na shule zao, makanisa kuongezekea kuliko alivyodhani kuwa ataweza maliza ktk utawala wake.Mwinyi kwa dili za misikitini huku hadharani akiwa mkali uongo.Leo anaabika kwa kupigwa makofi na waislam..leo anashughudia wenzio wakiishi bila mpangilo na vurugu mbaya kabisa.
 
nimekwepa tu kusema,wayahudi wanadai yesu yuko motoni mwili wake umechanganywa kwenye**(haitamkiki)

Nikisema wewe utakwenda motoni kwasababu ya imani yako nitakuwa nimekukashifu?
 
Hizo ni story na wengi wanaosema hizi story huko Israel wanakusikia na kukusoma mitandaoni waambie waulize walioenda sio kuunga tela tu Wangeukataza Ukristo Wakristo wasingeenda kuhiji kule na hata makanisa yange fungwa ukienda kule kuona maisha yalivyo na wanayo shupalia hawa wavaa vibarakashia ni vitu viwili tofaut kabisa.
Nimemuambia Elungata anipe ushahidi wa madai yake maana wanapenda sana kudanganyana

Kuna kundi kubwa sana la watu wanakwenda kuhiji huko kila mwaka na kule kuna makanisa mengi sana,wanataka kuwafanya wasiojua au wajing.a kama wao waamini uongo huu!
 
Last edited by a moderator:
haha..nimekupa swali,nikitaka utumie kitabu chako kujibu..ukarudisha kwangu..nikakuuliza kwa wema tuu huku nikiweka kicheko km tabasamu...Ili unihakikishie kuwa kitabu chako kimeshindwa kwanza.Kumbuka ni nafasi pekee niliyokupa ili kuthibitisha kuwa kitabu chako si bogus kihivyo.Muda wote nimekuwa sitaki hiyo mistari iliyokaa mika mpangilio wa cronologies..wala kauli zilizothibistishwa kuwa kweli.

Hivi hapa unanihoji au tunafanya mjadala kwa kadiri ya kila mtu anavyoelewa? Maana naona kila ninachokuuliza hujibu unakuja na swali. Kama ni hivyo niseme tu inatosha. Najua utakuja na kebehi kwamba nimekimbia mjadala, na iwe hivyo lakini siwezi kufanya mjadala wa upande mmoja tu. Kila la kheri katika imani yako.
 
I and my Father are one!

When you see me, You see the Father!

Before Abraham was, I am!

Duuuh...!

We have to comeback on the Genesis 1:1 from here it's ma hope dat we can have something good which can lead us on our argument .
 
hakuna mtu atabaki ndani ya dunia muda ukifa kila mtu atakufa maskini na matajiri wote tutakutana sehemu moja wale wanaomkufuru ndo hivyo wanaadhibiwa
 
Back
Top Bottom