Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

hakuna makanisa mengi israel kwasababu hakuna wakristo wengi huko,na hata asilimia kubwa ya wakristo ni wapalestina na wahamiaji wachache wa kiyahudi.

Wewe si umesema hapa kuwa ukihubiri injili Israel ni kosa kisheria na unakwenda jela?

Sasa hata hao wachache unaodai wapo huko wanatoka wapi?
Kwanini hawafungwi?

Kwanini kama ni kosa tu kuhubiri iweje kuwe na hata hayo makanisa machache?
 

Hivi wewe unajua maana ya ushahidi?

Hayo uliyoweka hapo yana tofauti gani na maandishi yako mengine?

Kama umekaa na mkeo na kuamua kuweka hapa hayo maandishi halafu unasema ni ushahidi kiaje?
 

Mwanao akikuudi na ukamuadhibu tayari anakuwa sio mwanao?
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.

Mwenyewe unajiona umeongea point sana hapo..bila shaka unajiona uko sahihi kabisa...Japo Allah si Mungu wa waarabu wote kama unavyodhani lakini Mungu kwa maana ya Allah ndo huyu huyu aliyeumba dunia..aliyemfanya Mariam kuwa na Mimba pasipo kuingiliwa na mwanaume na kisha kumzaa Issa/Yesu ambaye wewe unamwita Mungu bila shaka.
 
kweli wengi wanaomkufuru Mungu wanaangamia kabisa
unatambua kuwa hata huyu mwenye tovuti ya FACEBOOK amesema na kumkana Mungu kuwa hayuko na wala yeye hamtambui kabisa ngoja tuone naye kama atafikisha 30 years kwani sasa ana 27years?

 
Hivi wewe unajua maana ya ushahidi?

Hayo uliyoweka hapo yana tofauti gani na maandishi yako mengine?

Kama umekaa na mkeo na kuamua kuweka hapa hayo maandishi halafu unasema ni ushahidi kiaje?
ushahidi maana yake nini kwa mtizamo wako?.

Kumbe naongea na mtu mwenye uelewe zero kabisa,what a wastage of time!!.
Ila kwakua maji nimeyavulia nguo ntayaoga,sikujua,kumbe kiwango cha elimu kimeshuka sana bongoland hadi mtu hawezi akaelewa simple statement kama hiyo niliyokupa,hata kama hujui kimombo si ungemuomba maxshimba akutafsirie kuliko kuropoka.
Umetaka ushahidi kuwa israel wamepiga marufuku mihadhara,mikutano ya kuhubiri injili,nimeweka links lukuki,nimeweka hadi kifungu cha sheria kilichotungwa na bunge la kneset huko israel,sasa unataka ushahidi gani zaidi,ama unataka nikukatie tiketi ya ndege hadi jerusalemu ukajionee?.
Bora basi ungepinga kwa kuniwekea hata link ya kuonyesha mahubiri ya kidini huko israel,.
But una argu for the sake of arguing...ili uonekane na wewe upo.

N.B-huyo mke umenioza wewe?.
 
kweli wengi wanaomkufuru Mungu wanaangamia kabisa
unatambua kuwa hata huyu mwenye tovuti ya FACEBOOK amesema na kumkana Mungu kuwa hayuko na wala yeye hamtambui kabisa ngoja tuone naye kama atafikisha 30 years kwani sasa ana 27years?
huwezi ukampaint mungu kama ni jitu linalopenda kunyofoa roho za watu kila linapojisikia.tena nashangaa unafikia hadi hatua ya kumjaji mtu kwamba hawezi fika miaka 30,kama kwamba mungu ni mjomba wako na huwa mnapanga nae mambo mbalimbali.

Apart from the fact kwamba mungu sio gaidi eti awahold watu hostage kwamba asiyemtaka anamuua,lazima ujue kuwa mwanadamu kapewa freewill ya kuchagua,sasa kama huyo mark wa fcbk tayari wewe na mungu wako mmepanga asifike miaka 30 kama adhabu yake,then tuseme mwisho wa dunia tena ahukumiwe kwa kosa gani.
 
Wewe si umesema hapa kuwa ukihubiri injili Israel ni kosa kisheria na unakwenda jela?

Sasa hata hao wachache unaodai wapo huko wanatoka wapi?
Kwanini hawafungwi?

Kwanini kama ni kosa tu kuhubiri iweje kuwe na hata hayo makanisa machache?
mahubiri yote ni ndani ya kanisa,hakuna mikutano ya hadharani kama yakina Graham,kakobe etc.
 
nimekuuliza au umejiamulia kuingilia kitu usichokijua tambua kuwa kila mtu amepewa uwezo wa kuchat hivyo usipende kuingilia uhuru na maoni ya mtu mjengoni hapa huo ndo mtazamo wangu hivyo kuwa makini usicoment :hat:
 
Leonard Robert uko wapi tuambizane maana wiki imeisha.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Em acheni kukaa mna-support huu ujinga, Mungu si wa kukaa na kuua watu kisa wanamkufuru, dhambi ipo, na hiyo dhambi wanaofanya ni wengi tu... Mungu si wa namna hiyo, anawaachia watu wafanye wanayotaka na hawaadhibu ati kisa wanamkufuru. Wanatenda dhambi sawa na dhambi nyingine tu.... Hao waliokufa uliprove kua waliongea hayo?? Hakuna evidence yoyote kua walisema maneno hayo zaidi ya raia moja kukaa kwenye internet na kubandika uongo ukasambaa, hivi ndivo hua likes facebook zinatafutwa, ni msako wa hela tu hakuna kingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…