Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Unaanza kea ku assume kwamba mungu yupo.
Wapi?
Unaanza ku assume kwamba embe imeanguka mtini hata kabla hujachunguza kama imenunuliwa gengeni na kuwekwa chini!
Nimeassume wapi wakati nimekuambia kuna watu wanaliona Embe na wewe hulioni?

Wewe ndie unae assume kununuliwa gengeni wakati hakuna hata genge!
Kama umeshindwa kuona hilo ni tatizo la macho yako na sio kisichoonekana!
 
Ili isaidie tujue kweli.

Nitakuja hapa baada ya masaa 24 kuonyesha kwamba mungu wenu ni wa maboksi.

...........walikuwapo watu kama wewe wengi tuu !.........wanao gadhibisha !

'Tumeiumbia Jahanamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama Mnyama Hoa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hakika hao ndi walio ghafilika.
Qur'an:7:179.
 

Tunaandikia mate kwa nini na wino upo?

Masaa yanaenda hayo na mimi bado nadunda.
 
Hizi ni aya za shetani.
 
Masaa 24 yamepita mimi nadunda.

Yuko wapi huyo mungu enu? Mbona hakunipiga radi nife?

Cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutoa maoni yako bila kukashifu watu wa makundi mengine , kama kweli umesoma basi elimu yako haijakutoa ujinga

Kumbe inauma eee.........Kama inakuuma basi kata kuvaa mabomu n a kujilipua ili uende ahela la sivyo unakuwa umenikosea adabu
 
Umekalili tu.....Km unadhani kuvaa mabomu na kujilipua ni dili basi endelea
 
Unapomjuita hata muhamad ni mtume wa Mungu wa kweli ndipo unapokosea,.............hivi kwa nn waislamu wanalazimisha ionekane Mungu anayeabudiwa na wakristo ndo huyohuyo anayeitwa allah?.....Huko ni kukosea heshima Ukristo na Wakristo.
 
Unapomjuita hata muhamad ni mtume wa Mungu wa kweli ndipo unapokosea,.............hivi kwa nn waislamu wanalazimisha ionekane Mungu anayeabudiwa na wakristo ndo huyohuyo anayeitwa allah?.....Huko ni kukosea heshima Ukristo na Wakristo.
Jile79..........umejua sasa mungu wa Wakiristu si wa Ibrahim !:wave:
Qur'an:3:67-69
 
Last edited by a moderator:
Kumbe inauma eee.........Kama inakuuma basi kata kuvaa mabomu n a kujilipua ili uende ahela la sivyo unakuwa umenikosea adabu

Yesu alijilipua msalabani, ili nyie mpate wakati wa kula na kunywa !:A S cry:
 
Hili somo ni kubwa sana linapita uwezo wako unaotumia sasa.
Kwa mleta mada nadhani you are wrong....Mungu ana upendo kweli hawezi kuwafanya watu wake hivyo......think

Mi navofikiria tu ndugu....
Its Ok MUNGU anaupendo na watu wake hapana wa kumfananisha...ila sasa isije ikatokea tu anataka kukuadhibu maana pia adhabu yake itakuwa haina mfano wa kulinganishia
 
Jile79..........umejua sasa mungu wa Wakiristu si wa Ibrahim !:wave:
Qur'an:3:67-69

Kutaja Ibrahim unaona ni kitu kidogo sn ni sawa na waislamu wanapokosea sana eti Yesu mwenye sifa zake kwenye bible ndo issa bin maariam aliyeko kwenye kuran?!!!!.....Huu ni uchizi. Yesu mmoja hawezi kuwa na sifa tofauti wala haiwezekani Mungu huyohuyo mmoja awaambie waislamu wakiua wanaenda peponi, awaambie waislamu wampiganie, awaambie waislamu kuna mtume muhamad eti, awaambie waislamu waoe hovyo tu?????.....HIVI MNA UJASIRI GANI KULINGANISHA JOHN WA MBAGALA NA WA MASAKI UKASEMA NDO JOHN HUYOHUYO?
 

.............umewahi kujiuliza: emekuwaje kwa wale watu walio mkamata mungu na kumuwamba msalabani !?.........kuna uchizi kupita huo ??:A S 13:
Hivi unaweza kumuwamba mungu mtoto msalabani kisha ukaenda peponi ?:loco:
Hivi mungu anamtoaje 'mwanae' wa pekee, huku akijua hana 'mwana' mwingine auawe huku yeye anaangalia ??:A S 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…