Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Unaanza kea ku assume kwamba mungu yupo.
Wapi?
Unaanza ku assume kwamba embe imeanguka mtini hata kabla hujachunguza kama imenunuliwa gengeni na kuwekwa chini!
Nimeassume wapi wakati nimekuambia kuna watu wanaliona Embe na wewe hulioni?

Wewe ndie unae assume kununuliwa gengeni wakati hakuna hata genge!
Kama umeshindwa kuona hilo ni tatizo la macho yako na sio kisichoonekana!
 
Ili isaidie tujue kweli.

Nitakuja hapa baada ya masaa 24 kuonyesha kwamba mungu wenu ni wa maboksi.

...........walikuwapo watu kama wewe wengi tuu !.........wanao gadhibisha !

'Tumeiumbia Jahanamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama Mnyama Hoa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hakika hao ndi walio ghafilika.
Qur'an:7:179.
 
Tunaandikia mate kwa nini na wino upo?

Masaa yanaenda hayo na mimi bado nadunda.
 
...........walikuwapo watu kama wewe wengi tuu !.........wanao gadhibisha !

'Tumeiumbia Jahanamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. Hao ni kama Mnyama Hoa, bali wao ni wapotofu zaidi. Hakika hao ndi walio ghafilika.
Qur'an:7:179.
Hizi ni aya za shetani.
 
Masaa 24 yamepita mimi nadunda.

Yuko wapi huyo mungu enu? Mbona hakunipiga radi nife?

Cc Matola
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutoa maoni yako bila kukashifu watu wa makundi mengine , kama kweli umesoma basi elimu yako haijakutoa ujinga

Kumbe inauma eee.........Kama inakuuma basi kata kuvaa mabomu n a kujilipua ili uende ahela la sivyo unakuwa umenikosea adabu
 
What about the Bible? Who actually wrote it?

What was the original language of the Bible? (Hebrew? Aramaic? Koine Greek?)
NOTE: - The Bible was never in English during the time of any prophet (not even Muhammad) - because English did not exist until after 1066 AD!

Does the Bible exist in the original form anywhere on earth? (No)

Why does the Catholic Bible has seven (7) more books than the Protestant Bible?

Why do these two Bibles have different versions of the same books?

Why are there so many mistakes and errors are from the very first verse right up to the very last verse?

Why do 'Born Again Christians' teach concepts that are not from the Bible?

There is no word "Trinity" in the Bible in any version of any language

The oldest forms of Christianity do not support the 'born again' beliefs

Jesus of the English Bible complains about the 'crucifixion'
("Eli! Eli! Lama sabachthani? - My God! My God! Why have You forsaken me?") [Mk 15:34]

How can Jesus be the "Only Begotten Son" of John 3:16? When in Psalms 2:7 David is God's "Begotten Son?"

Would a 'Just' God, a 'Fair' God, a 'Loving' God -- punish Jesus for the sins of the people that he called to follow him?

What happens to people who died before Jesus came?

What happens to those who never hear this message?

What about innocent children who die although their parents are not Christian?

Didn't God create Adam from dirt? -- So, why does he need Mary to make Jesus?

And what about God?
How can God create Himself?
How can God be a man?
How can a man be a God?
How can God have a son?
The Bible says "Seth (is) the son of Adam" and that"Adam is the son of God." [Lk 3:36]
Can't God just forgive us and not have to kill Jesus?
And what about Jesus?
Jesus did not even carry the cross -- Simon Cyre'ne, a passerby did! [Mk 15:21]
Jesus of the Bible was NOT on the cross for longer than six (6) hours -- NOT three days -- (from the 3rd to the 9th hour) [Mk 15:25 & 15:33]
Jesus of the Bible did not spend three days and nights in the tomb -- Friday night - until Sunday before dawn -- is not 3 days and nights!
Jesus DID NOT claim to be God - or even equal to God!
Umekalili tu.....Km unadhani kuvaa mabomu na kujilipua ni dili basi endelea
 
Jile79
'Kwa hakika tuliwatuma Mitume wetu kwa dalili wazi wazi, na tukateremsha Kitabu pamoja nao na Mizani, ili watu wasimamie uadilifu, na tumeteremsha chuma chenye nguvu nyingi na manufaa kwa watu, na ili Mwenyezi Mungu amjue anye mnusuru Yeye na Mitume wake kwa ghaibu. hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye Nguvu na Mwenye Kushinda

Na bila shaka tulimtumaNuhu na Ibrahimu na tukaweka katika dhuriya zao Unabii na Kitabu. Basi wapo miongoni mwao walio ongoka na wengi katika wao ni wapotovu.
Qur'an:57:25-26.

'Ibrahim hakuwa Myahudi wala Mkiristu, lakini alikuwa mwongofu, Muislaam, wala hakuwa katika washirikina ( waabudu masanamu)

'Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim ni wale waliomfuata yeye na Nabii huyu (Muhammad) na walio amini (Waislaam). Na Mwenyezi Mungu (pekee) ndiye Mlinzi wa Waumini.

' Kipo kikundi katka watu wa Kitabu (wakiristu) wanaopenda kukupotezeni; lakini hawawapotezeni ila nafsi zao, na wenyewe hawatambui !
Qur'an:3:67-69
Unapomjuita hata muhamad ni mtume wa Mungu wa kweli ndipo unapokosea,.............hivi kwa nn waislamu wanalazimisha ionekane Mungu anayeabudiwa na wakristo ndo huyohuyo anayeitwa allah?.....Huko ni kukosea heshima Ukristo na Wakristo.
 
Jile79..........umejua sasa mungu wa Wakiristu si wa Ibrahim !:wave:
Qur'an:3:67-69
 
Last edited by a moderator:
Kumbe inauma eee.........Kama inakuuma basi kata kuvaa mabomu n a kujilipua ili uende ahela la sivyo unakuwa umenikosea adabu

Yesu alijilipua msalabani, ili nyie mpate wakati wa kula na kunywa !:A S cry:
 
Hili somo ni kubwa sana linapita uwezo wako unaotumia sasa.
Kwa mleta mada nadhani you are wrong....Mungu ana upendo kweli hawezi kuwafanya watu wake hivyo......think

Mi navofikiria tu ndugu....
Its Ok MUNGU anaupendo na watu wake hapana wa kumfananisha...ila sasa isije ikatokea tu anataka kukuadhibu maana pia adhabu yake itakuwa haina mfano wa kulinganishia
 
Jile79..........umejua sasa mungu wa Wakiristu si wa Ibrahim !:wave:
Qur'an:3:67-69

Kutaja Ibrahim unaona ni kitu kidogo sn ni sawa na waislamu wanapokosea sana eti Yesu mwenye sifa zake kwenye bible ndo issa bin maariam aliyeko kwenye kuran?!!!!.....Huu ni uchizi. Yesu mmoja hawezi kuwa na sifa tofauti wala haiwezekani Mungu huyohuyo mmoja awaambie waislamu wakiua wanaenda peponi, awaambie waislamu wampiganie, awaambie waislamu kuna mtume muhamad eti, awaambie waislamu waoe hovyo tu?????.....HIVI MNA UJASIRI GANI KULINGANISHA JOHN WA MBAGALA NA WA MASAKI UKASEMA NDO JOHN HUYOHUYO?
 
.............umewahi kujiuliza: emekuwaje kwa wale watu walio mkamata mungu na kumuwamba msalabani !?.........kuna uchizi kupita huo ??:A S 13:
Hivi unaweza kumuwamba mungu mtoto msalabani kisha ukaenda peponi ?:loco:
Hivi mungu anamtoaje 'mwanae' wa pekee, huku akijua hana 'mwana' mwingine auawe huku yeye anaangalia ??:A S 13:
 
Back
Top Bottom