Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mungu ni mwenye upendo na kamwe si mtoa roho. Mtoa roho ni shetani ibilisi. Na ibilisi anatutoa roho kwa sababu tumekataa kumtii Mungu tumeamua kumfuata ibilisi.

Hiyo ni kweli kabisa mkuu.
 
huu ni zaidi ya upu.uuzi...ingekua hivyo kina mgen,maxshimba,nkwesamakambo,gavana,ishmarl,remote eyc..etv eanfeshakufa maake kila siku wanakyfuru na kumtukana Allah na Jehiva humu ndani....acha kuwa mvivu wa kufikuri mkuu
 
Tofautisha Allah na Mungu.
 
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mungu ni mwenye upendo na kamwe si mtoa roho. Mtoa roho ni shetani ibilisi. Na ibilisi anatutoa roho kwa sababu tumekataa kumtii Mungu tumeamua kumfuata ibilisi.
shetani anatoa roho?.

Weka maandiko.
 
Kighoma Ally Malima alimkufuru Alah hata Mungu abishe atakuwa rais wa Tz kwa kupitia NRA,Mungu alimpiga bao la kisigino kwa dharau zake,RIP Malima.

Dah mungu nyerere noma kwa pasi za visigino
 
wasiomdhihaki mungu wanaishi milele?

Good question. Na Mungu wa ukweli ni wa akina nani? Wakristu, Waislamu, Wahindu, Buddha au wanaoabudu mizimu?

Kwa vile hakuna aliyewahi kufa na kurudi hapa duniani kutuelezea, basi ni vyema kila mtu kuamini la kwake.
 
mungu ni mmoja tu,hakuna mungu wa wahindi,wachina,wasabato,lutherani au AIC.
 
Nitake radhi kuna tofauti kubwa kati ya Mungu wa wakristo na mungu wa waislamu(Allah)
je wa wahindu?,mbona unaishia kutaja hao wawili kama unaamini kuna mungu zaidi ya mmoja?
 
Kiufupi elewa tu kuwa kila dini ina mungu wake ingawaje kuna Mungu mmoja mkuu kuliko nae ni yule ninaemwamini mimi lakini hata yule unaemwabudu wewe ni Mungu wako.
 
mungu ni mmoja tu,hakuna mungu wa wahindi,wachina,wasabato,lutherani au AIC.

Mkuu Mungu wa wakristo ni tofauti na Mungu wa waislamu,budha,hindu na yule mungu anaeabudiwa na babu jaribu kusoma vitabu vya kidini utagundua hilo.
 
Ngoja niwaeleweshe. Unaweza kusema kila mtu(jamii fulani ina mungu wake) but swali linakuja ni yupi mungu wa kweli????. Mfano kwa waislamu ambao mungu wa miungu yoote. Wako wanaoabudu jua,mawe,ng'ombe,majabali,jua,masabamu,wanadamu(Issa ah) hao wooote wako chini ya milki ya mungu (Allah) wa waislamu
 
Back
Top Bottom