Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
Waliomkufuru Allah je?
Wapo na wanadunda kama mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliomkufuru Allah je?
Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mungu ni mwenye upendo na kamwe si mtoa roho. Mtoa roho ni shetani ibilisi. Na ibilisi anatutoa roho kwa sababu tumekataa kumtii Mungu tumeamua kumfuata ibilisi.
kifup Mungu ni zaid ya ujuavyo take care
Nyerere alishangaa ni nani anayeua watoto wadogo.(hakuamini kama mungu ndiye mtoa roho)..hakuchukua raundi akapigwa na shoti ya hatari. Acheni mungu aitwe mungu
huu ni zaidi ya upu.uuzi...ingekua hivyo kina mgen,maxshimba,nkwesamakambo,gavana,ishmarl,remote eyc..etv eanfeshakufa maake kila siku wanakyfuru na kumtukana Allah na Jehiva humu ndani....acha kuwa mvivu wa kufikuri mkuu
shetani anatoa roho?.Sikubaliani na wewe hata kidogo. Mungu ni mwenye upendo na kamwe si mtoa roho. Mtoa roho ni shetani ibilisi. Na ibilisi anatutoa roho kwa sababu tumekataa kumtii Mungu tumeamua kumfuata ibilisi.
Kighoma Ally Malima alimkufuru Alah hata Mungu abishe atakuwa rais wa Tz kwa kupitia NRA,Mungu alimpiga bao la kisigino kwa dharau zake,RIP Malima.
Allah ni Mungu yule yule.Waliomkufuru Allah je?
wasiomdhihaki mungu wanaishi milele?
Alisema ana uhakika wa kumuona rais ajaye baada mkapa, but he never did
Thread imerudiwa au deja vu!!😕
God je?.
Uwage unatumia akili.
mungu ni mmoja tu,hakuna mungu wa wahindi,wachina,wasabato,lutherani au AIC.Good question. Na Mungu wa ukweli ni wa akina nani? Wakristu, Waislamu, Wahindu, Buddha au wanaoabudu mizimu?
Kwa vile hakuna aliyewahi kufa na kurudi hapa duniani kutuelezea, basi ni vyema kila mtu kuamini la kwake.
je wa wahindu?,mbona unaishia kutaja hao wawili kama unaamini kuna mungu zaidi ya mmoja?Nitake radhi kuna tofauti kubwa kati ya Mungu wa wakristo na mungu wa waislamu(Allah)
je wa wahindu?,mbona unaishia kutaja hao wawili kama unaamini kuna mungu zaidi ya mmoja?
mungu ni mmoja tu,hakuna mungu wa wahindi,wachina,wasabato,lutherani au AIC.
Wapo na wanadunda kama mimi.