Ngoja niwaeleweshe. Unaweza kusema kila mtu(jamii fulani ina mungu wake) but swali linakuja ni yupi mungu wa kweli????. Mfano kwa waislamu ambao mungu wa miungu yoote. Wako wanaoabudu jua,mawe,ng'ombe,majabali,jua,masabamu,wanadamu(Issa ah) hao wooote wako chini ya milki ya mungu (Allah) wa waislamu
Mkuu Mungu wa wakristo ni tofauti na Mungu wa waislamu,budha,hindu na yule mungu anaeabudiwa na babu jaribu kusoma vitabu vya kidini utagundua hilo.
Mungu wa kweli ni wa Wakristo tu. Hukunaga mwingine kama yeye. Hata waislamu na dini nyingine wanalijua hilo kabisa ila huwa wanashupaza shingo tu.
Huu ni uzushi sana...na uongo wa kupindukia kabisa..huwez ukaleta chai hizi kwa watu waliokaa na kuangalia makaratasi meupe hapa ....
na wewe utakufa.
na mimi nasema yesu binadamu tu si mungu na biblia sehemu kubwa ni uongo
Na wewe utakufa tu